Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Gadafi alitoa mpaka jeshi lake katika vita ya Tanzania na Uganda usisahau na tukampiga
Msimamo wako unafundishwa shule gani? Na umeandikwa kwenye kitabu gani?Tatizo wewe huwa mkrupukaji, wapi nimesifia wazungu. Aidha hujui msimamo wangu kuhusu haya maswala
Ni kweli kabisa mkuu only the strong will survive huo ndo mfumo wa dunia toka iumbwe hata kwa wanyama na wadudu mfumo ndo huuNilijua umekuja na evidence kuwa obama ni alien.
Kumbuka ktk dunia hii only the stronger will survive and the weak will perish. ( survival for fittiness rule).
Kaa kwa kutulia usije na ww ukaliwa kichwa
Waislamu mpaka leo wanaamini Idd Amin alikuwa mtu mwema na hakuwa na tatizo.Waislam hawachukiani
Na kutoa misaada ya ujenzi wa misikiti Africa nzima.Gaddafi alikuwa Dictator muovu aliyetumia pesa za mafuta kujinufaisha, kununua marafiki na kujichimbia madarakani.
anakula faida kutoka kwa mwekezajiMpaka leo Kagame hatujamuona wala kusikia akituma pole zake, nachojaribu kusema kwenye siasa/cheo hamna rafiki wa kweli zaidi ya mliokuwa naye kabla ya cheo.
Na sidhani Kama msaada wake kwa Mugabe kama ulikuwa na manufaa kwa Wazimbabwe.Vipi msaada wake ungesaidia idd amin kuwanyuka tz ungeandka utopolo huu leo ww great sinker
Siraha = silahaUsisahau kwamba alimuunga mkono Ndulu Idi Amin alipovamia Tanzania na kuua wananchi wa Kagera,alituma vikosi na siraha.
Evidence please.Gadaf usisahau ndie aliyefadhili vita mbaya na mauaji ya kinyama kule sieralione kwa foday sanko. ndie mfadhil mkuu wa mauaji ya liberia kwa Charles Taylor. yule jamaa alikuwa muuji mzur.
Ukiona jambo hulielewi jua kua lipo nje na uwezo wako wa uelewa na wewe sio mlengwa wa jambo hilo.Hata haueleweki unataka kuandika kuhusu nini
Naona hii mada imekuchoma kama Pasi Eeeh!Ulichoandika ni kuwa suruali inavaliwa kiunoni. Matokeo yake umeivaa shingoni. Article ya kijinga sana hii.
Aisee!Kichwa Cha habari kilitakiwa kuwa " Gadafi hakiwa mtu wa kawaida"
Hata kucopy tu umeshindwa utaweza kumuelezea Obama umeandika ujinga sana. Nawe jioni unaomba kuona home work ya watoto wako.Naona hii mada imekuchoma kama Pasi Eeeh!