Obama, Hillary Clinton, pamoja na vyombo vyao vya habari Walikua wanamchukulia Gaddafi alikuwa dikteta

Hata kucopy tu umeshindwa utaweza kumuelezea Obama umeandika ujinga sana. Nawe jioni unaomba kuona home work ya watoto wako.
Kumbe hata mleta mada hujui ni nani Eeeh! yaani umekurupuka tu kama chafya!
Endelea kuyasikilizia maumivu.
 
Sawa Iddi Amin alikua ni muislamu, vipi Mugabe, Mandela na viongozi wengine wa Ki Africa?

Mlivyo wanafiki wakate Mugabe anaekewa vikwazo viongozi wengi waliufyata mkia, ila yeye alikuwa mstari wa Mbele kumsaidia, Mugabe nae ni muislamu?
 
Ungekuwa sahihi kama Libya ilikuwa Tajiri kabla ya Gadafi.

Ila haupo sahihi Sababu Libya ilikuwa ni kijiji kabla ya Gadaffi, yeye ndio ameuinua Uchumi wake na alivyoondoka Uchumi nao Unaondoka.

Jamaa alivyo ingia tu kuwa Raisi alianza na welfare, Elimu kwa walibya, Afya na Nyumba kwa kila Mlibya.

Nigeria wana Demokrasia na mafuta ila mafuta yao yananufaisha 1% ya Nchi nzima wakati 99% wa naangalia tu, wengi masikini.

Mchukie unavyomchukia ila mpe Credit kwa kuinua Uchumi wa libya. Uchumi ni wake na talent ni yake na sio kwamba leo kaondoka ushangae nchi kuharibika, kabla ya hapo haikuwa nzuri.
 
Huvi gadaf alikuwa anapata wapi pesa ambazo leo Libya wameshindwa kupata mpaka wameanza kuwa omba omba
 
Mafuta mengi yaligunduliwa wakati wa Gaddafi
 
Nigeria wemeanza kuwa na Demokrasia mwaka 2000,ukiacha miaka michache sana ya kipindi karibia na uhuru miaka mingine yote wanajeshi wendawazimu wamekuwa wakipinduana na kuua raia walioonekana tishio kwa utawala wao.
 
Sawa Iddi Amin alikua ni muislamu, vipi Mugabe, Mandela na viongozi wengine wa Ki Africa?

Mlivyo wanafiki wakate Mugabe anaekewa vikwazo viongozi wengi waliufyata mkia, ila yeye alikuwa mstari wa Mbele kumsaidia, Mugabe nae ni muislamu?
Wapo walio msaidia, tena Mzee Mkapa kipindi chake alimtetea sana, kuna mkutano mmoja walianza kumjadili akawambia sie Africa tuna mambo mengi yakujadili habari za Mugabe tuachane nazo.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mafuta mengi yaligunduliwa wakati wa Gaddafi
Libya Imegundua mafuta 1950s sawa na Nchi nyengine za Kiarabu, Gadafi ameingia madarakani almost miaka 20 inayofuatia 1969.

Na kama niliyokuambia libya si Nchi pekee yenye Mafuta, wengine walishindwa kuendeleza nchi zao, ila yeye kaweza.
 
Nigeria wemeanza kuwa na Demokrasia mwaka 2000,ukiacha miaka michache sana ya kipindi karibia na uhuru miaka mingine yote wanajeshi wendawazimu wamekuwa wakipinduana na kuua raia walioonekana tishio kwa utawala wao.
Indonesia pia imeanza kupata maendeleo miaka ya 2000, mpaka leo ni moja ya nchi kubwa duniani.

Miaka 21 Inatosha kabisa kubadili nchi ama angalau kutoa muelekeo. Ila Nigeria ile na ya leo tofauti nini? Mabilionea wachache na mamia ya mamilioni ya masikini.
 
Wapo walio msaidia, tena Mzee Mkapa kipindi chake alimtetea sana, kuna mkutano mmoja walianza kumjadili akawambia sie Africa tuna mambo mengi yakujadili habari za Mugabe tuachane nazo.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Fair enough mkuu, inawezekana hapa na pale Wali jaribu kumsaidia, ila Gadaffi alisaidia kihali na Mali, wakati Zimbabwe wamepigwa pini jamaa alitoa mafuta ya Almost Trilioni moja bila kupewa hela kwa promise ya kulipwa Baadae.
 
Sawa Iddi Amin alikua ni muislamu, vipi Mugabe, Mandela na viongozi wengine wa Ki Africa?

Mlivyo wanafiki wakate Mugabe anaekewa vikwazo viongozi wengi waliufyata mkia, ila yeye alikuwa mstari wa Mbele kumsaidia, Mugabe nae ni muislamu?
unampenda mtu aliyetuma wanajeshi waje washambulie nchi yako? una akili ziko sawa kweli? au kwasababu......
 
Watakuponda sana mshkaji wangu Bujibuji, lakini upo sahihi 100%.. ..wazungu + obama wao hawafai hata kidogo.. ..

Tutammiss Gadafi

πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Gadaffi alikuwa mpuuzi tu alimsaidia iddi Amin kuua Watanzania.
Kinachowafanya mumchukie gadafi nini haswaa? Uislamu/mwarabu?

Wakristo sijui huwa mna matatizo gani! Najaribu kusoma comments nakutana na wale wale wa udini udini wakimsema vibaya Gadafi. Lakini wapo wakristo wengine walikua wanampenda gadafi na mpaka sasa wanamkumbuka, na hao ndio wanaojitambua na hawamchukii kisa eti muisilamu, hawa ndio wanajitambua.
 
Wewe jamaa kwa udini tu hatari πŸ˜„ Mpe basi haki yake hata kama sio wa imani yako.
 
Waislamu mpaka leo wanaamini Idd Amin alikuwa mtu mwema na hakuwa na tatizo.

Wanaamini Mwenye tatizo alikuwa ni Julius.

Unaweza ukaweka ushahidi kwa maovu yake, na sio kujiropokea tu kisa muislamu.
 
Na kutoa misaada ya ujenzi wa misikiti Africa nzima.

Hii mada imewachoma sana, mnajua sana mema aliyoileta kwa wana libya, na mnajua sana alikua na lengo la kutuunganisha all africans iwe state (United States Of Afrika), na pesa itumike moja tu. Lakini pamoja na yote haya bado mnamchukia na kumsema vibaya, kisa Muislamu/Mwarabu!!! Ila nyie viumbe basi tu, ingelikuwepo ottoman mpaka sasa watu kama nyie na chuki zenu msingeachwa πŸ˜„
 
Kuinua uchumi ni wajibu wake na haitakiwi hiyo kuwa sababu ya kufanya anavyotaka ikiwa pamoja na kugeuka dikteta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…