Obama, Hillary Clinton, pamoja na vyombo vyao vya habari Walikua wanamchukulia Gaddafi alikuwa dikteta

Asilimia kubwa ya wakristo humu mnamsema vibaya Gadafi, kulikoni?
Tatizo lako unaegemea sana dini kila linapokuja swala la kimataifa. Swali ulilotakiwa kuniuliza ni kuthibitisha ninachosema na sio kuniweka kwenye mawazo ya kidini.
 
Tatizo lako unaegemea sana dini kila linapokuja swala la kimataifa. Swali ulilotakiwa kuniuliza ni kuthibitisha ninachosema na sio kuniweka kwenye mawazo ya kidini.

Udini unawasumbua

Ebu thibitisha basi kama yeye ni dikteta kweli?
 
Tayari una jibu lako mkononi umelitanguliza. Kuhusu udini wananchi wa Libya walioingia barabarani kupambana na Gadafi walikuwa dini gani?

Bado hujajibu swali langu! Umesema alikua ni dikteta, je! Una ushahidi kithibitisho gani?
 
unampenda mtu aliyetuma wanajeshi waje washambulie nchi yako? una akili ziko sawa kweli? au kwasababu......
So kama ametuma? Gadaffi huyo huyo kafanya Investment kibao, kigamboni bahari Beach kakujenga, kaleta misaada kibao Tanzania, je kwanini hamjaikataa?
 
So kama ametuma? Gadaffi huyo huyo kafanya Investment kibao, kigamboni bahari Beach kakujenga, kaleta misaada kibao Tanzania, je kwanini hamjaikataa?
Ghadafi amekujengea nini kigamboni wewe kipofu? misaada gani ameileta? unajua bahari beach aliinyang'anya kwasababu alikuwa anatudai hivyo hotel ile nimali ya nchi ya Libya? eti kibao kibao sijui huwa mnanyang'anywa akili?
 
Ndio ni Mali ya Libya na walijenga akiwa yeye raisi, so wakifanya zuri Libya wameifanya, wakifanya Baya Gadafi kafanya.
 
Unaposema kwako wewe hakuwa na faida ulitaka akujengee nyumba au kukupa msingi ufanye biashara? sema wewe umeamua kumtizama kwa tofauti za kiimani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…