mmmm facts mkuu,ila matatizo ya pale Syria naona wanakimbilia kwenye nchi hizo hizo za mabeberu wala sio iran,saudia ila wanalazimisha waende ujerumani,Sweden,Canada!!!inashangaza
Lazma ushangae hata IRAN Nayo Haijasalimika Kwa Hao Wapuuzi Wakimagharibi Wanaweza Wakalala Wakiamka waka iamkia IRAN ss c bora wajiendee huko ambapo wanajua watapata adha nyengine ila sio vita
kama hawataki wakimbizi toka Arabuni Waache Kuzivamia Na Kuzikalia Kimabavu NCHI Zao
Wewe kuitwa mwehu sio lugha chafu bali unastahili na wewe ungekuwa na wazazi usingekuwa unaandika ujinga humu kingine wewe boya usitishe watu kama kukuteka tutaanza na wewe UVCCM