Obama: Huwezi kusema una Demokrasia ukashinda kwa 90% + huku upinzani umeufungia, uhuru wa habari hakuna

Obama: Huwezi kusema una Demokrasia ukashinda kwa 90% + huku upinzani umeufungia, uhuru wa habari hakuna

Nikajua Barack Obama USA President kumbe ni Obama wa kimbangulile

Leta na poul aka poul pogba

State agent
 
mmmm facts mkuu,ila matatizo ya pale Syria naona wanakimbilia kwenye nchi hizo hizo za mabeberu wala sio iran,saudia ila wanalazimisha waende ujerumani,Sweden,Canada!!!inashangaza
Lazma ushangae hata IRAN Nayo Haijasalimika Kwa Hao Wapuuzi Wakimagharibi Wanaweza Wakalala Wakiamka waka iamkia IRAN ss c bora wajiendee huko ambapo wanajua watapata adha nyengine ila sio vita


kama hawataki wakimbizi toka Arabuni Waache Kuzivamia Na Kuzikalia Kimabavu NCHI Zao
 
Mbona unapenda kutoa lugha chafu km binti?
Hauna wazazi

Mbona hawakupigi ban kwa ujinga wa kunifatilia mimi

This is the second chance, stop that
Wewe kuitwa mwehu sio lugha chafu bali unastahili na wewe ungekuwa na wazazi usingekuwa unaandika ujinga humu kingine wewe boya usitishe watu kama kukuteka tutaanza na wewe UVCCM
 
Back
Top Bottom