Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Alisema: huwezi kuwa na Demokrasia na ukashinda kwa zaidi ya 90+ huku mpinzani wako umemfunga, hakuna uhuru wa habari, hakuna uhuru wa vyama kukutana, kufanya mikutano, uhuruwa kukosoa serikali, hakunataasisi imara za check and balance ukasema kuna demokrasia.
Unafanya uchaguzi kujidanganya
----
ALIYEKUWA RAIS WA MAREKANI AKIZUNGUMZIA DEMOKRASIA
-
Tunatakiwa kuacha kujifanya kuwa, Nchi kufanya Uchaguzi wakati muda mwingine mshindi hupata zaidi ya asilimia 90 ya kura kimaajabu kwa sababu Wapinzani wote wamefungiwa, ni demokrasia.
Demokrasia inategemea Taasisi imara, inahusu haki ndogo ndogo, mfumo unaoangalia usawa bila watu au Taasisi fulani kuwa na nguvu kuliko nyingine, uhuru wa kutoa maoni, uhuru wa kujieleza, Uhuru wa Vyombo vya Habari, haki ya kuandamana, kuihoji Serikali, Mahakama huru na Kila mmoja kuofuata Sheria.