Obama kagoma kustaafu ale pension anataka kushika remote na kupitisha marais wake wa Democrats, Biden kamtia adabu !

Obama kagoma kustaafu ale pension anataka kushika remote na kupitisha marais wake wa Democrats, Biden kamtia adabu !

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Kilichopo ni kwamba ndani ya Democrats Obama ndie King Maker,

Kwenye uchaguzi huu wa 2024 tayari Team ya Obama walikuwa na mtu wao wanaetaka kumpachika awe Rais, Ni mwanaume !!

Ikawaje Harris Mwanamke aligombea ?

Team Obama walianza mipango ya kumlazimisha Biden atangaze hagombei Urais tangu mwaka jana, Walifanya haya mapema ili kuwe na nafasi ya wanachama wa Democrat kugombea nafasi ya kugombea Urais kwenye majukwaa yao.

Biden aliona hii ni kama dharau na alijua wazi kabisa mwenye Rimoti ni Obama, alikaza hakukubali,

Matokeo yake ndio haya kwenye video hii



Obama kwa ushawishi wake aliwapanga wengine waanze kumdharau wazi wazi Biden, Obama alikuwa anampa ujumbe Biden "huwezi chochote bila mimi"

Biden aliendelea kukaza kwa maksudi mpaka kufikia July kipindi ambacho muda umebana wa kuchagua wagombea wa urais wa vyama, kwa hali hio akaamua kumtangaza Kamala Harris ampokee jukumu la kugombea urais, Kamala hakuwa chaguo la Obama.

Hii ilimvuruga sana Obama, Hakuweza kubisha kwasababu ingekigawa chama na Kamala hakuwa chaguo lake japo angeweza kumcontrol na kulikuwa na nafasi ndogo ya kushinda.
 
Obama anamuandaa mke wake awe makamu wa rais kwa mgombea ajae
 
Back
Top Bottom