Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Ndege za awali zimeanza kutua, na ndege ya Obama inasadikiwa ita land saa 8:20 pm... Live CITZEN tv
 
Ni aibu sana,,,yani ikulu ya Kenya ipo chini ya Wamarekani kama ilivyokuwa Tanzania kipindi kile!!
Lazima iwe hvo na sio aibu it means hawa amini ulinzi wa nchi zetu. Ndo mana Obama kaja na timu ya ulinzi wako. Wako advanced in technology and security that's why
 

Unapoteza muda kubishana na huyo muosha vibabu vya kizungu..
 
Last edited by a moderator:
They said it will not be a public holiday kama hauja notice

Dude, read and comprehend things before you decide to reply to them.

I wasn't talking about today's visit.

I was talking about 6 years or so ago.

Good grief!
 
sasa mbona kubwa zima uko bizee "USA babiiiiiiii" na flags juu!! Unasikitisha sana kujichora chora humu!!

Wewe endelea tu kufuatilia ujio wa Obama na u-appreciate kimya kimya.

Tena karibu atashuka toka kwenye ndege.

Sawa bibie?

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Kenya ulinzi umekuwa mkali kuliko Tanzania alipokuja, hakuna ngoma uwanjani kwasababu za kiusalama
 
Hahaaaaa watu mnafuatilia na kuumia kimya kimya tu teh teh teh

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Naangalia kwa TV sasa , muda huu Obama ameshatua nchini Kenya,wanaofuatilia ujio wake watujuze pia tujadili kuna haja au faida gani kuja kwa wakati huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…