Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Kweli Wamarekani kiboko.Yaani utafikiri wenyewe ndio wenyeji na Wakenya ndio wageni
 
I have never seen the president stranded like this. Hosting president is left wondering...
Umaskini tabu
 

Attachments

  • 1437758969736.jpg
    1437758969736.jpg
    47.7 KB · Views: 357
Naangalia kwa TV sasa , muda huu Obama ameshatua nchini Kenya,wanaofuatilia ujio wake watujuze pia tujadili kuna haja au faida gani kuja kwa wakati huu.

Anaenda kuwaambia wanaume wa Kenya waoane
 
Jamaa kafika kapanda ndinga na watu wake haoooo. Wenzangu mimi ndio wanahangaika kusaka safari. Unampokea mtu hupati hata nafasi yakumuongoza kwenda kule atafikia!!!


 
Kwani hairuhusiwi kumpa mshikaji lift?

Nimeona kamwacha nyuma!

Utamwachaje mwenyeji wako? Hawa jamaa nao wana nyodo!

Hahahaaaa kusema kweli sijui protokali zao zilivyo.

Lakini hata JK aliachwa mbona hahahaaaa.

Ila mshikaji dizaini kama kaachwa anashangaa shangaa hivi.

Hawa Wamarekani saa ingine bana.....wana nyodo sana.
 
Kuna yule dada mweusi walikumbatiana wakati anashuka kwa ndege, huyo kapanda the Beast nadhan ni sister ake
 
Kama hamjaona Mercedes ya uhuru imetoka ndio ya Obama inafwata nyuma....
 
Kuna thread ipo Kenyan News huko, Peleka kule
invicible

Siyo kila habari iwe lazima itokane na Tanzania. Huu ni uvivu wa kutoa na kupata habari. Humu jamvini tujadiliane/ tujuzane bila kebehi. Najua wabajf ni wastaarabu na wapambuzi wa mambo,tuzidi kudumisha hilo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom