Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi Wakenya sio saizi yetu, wametuacha tunatembea, wao wanakimbia kwa kasi.
Hapana mkuu haishangazi naona ilikuwa ni taarifa tuKwahiyo inashangaza?
Kijijin kwa obama, watoto hawajaenda shule leo,hosptal zmefungwa
cinema imetengwa katikat ya kijiji kushuhudia ujio wa Obama
Ok sisi tunatembea wao wanakimbia, sasa hapohapo ebu nisaidie nini kirefu cha M kwenye neno M pesa.