Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Wake ya zingatieni ushauri wa Obama.mkiendelea na tabia zenu za ukabila mmekwisha.
 
Naona wivu....inaelekea Kenya wamefaidika sana na ziara yake.Kwanini siyo sisi .....hali Mkuu wetu amekwenda Marekani mara kibao
 
Wakenya baada ya kuchapana wameheshimiana na sasa wanaweka NATIONAL INTEREST mbele. Na sasa wanasonga, we need that in Tanzania, not kuchapana but National Interest na sio personal interest.
 
Kabisa Mkuu, asikwambie mtu nyumbani ni nyumbani. Ila kwawaonya sana kuhusu ubaguzi wa aina yoyote, hasa Ukabila na mgawanyo sawa kwenye huduma za kijamii.
All in all Obama amewatendea wakenya haki. Kenyans should proudly of that
 
Wakenya wameitumia vizuri hii fursa, siyo hapa Bongo alimaliza siku 4 lakini hakuna lolote tofauti na kutembelea mitambo ya Simbioni.
Naona wivu....inaelekea Kenya wamefaidika sana na ziara yake.Kwanini siyo sisi .....hali Mkuu wetu amekwenda Marekani mara kibao
 
Duh! mleta mada umeipanga vizuri, halafu kweli hotuba ya Obama imenigusa, jamaa yuko sawa na anaelewa jinsi ya kupeleka point hadi isikike na kukubalika.
 

Eti nyumbani ni nyumbani, msiwe mambumbumbu! Obama ni Mmarekani hata Nyani Ngabu anajua hili.
Je angeenda kutembelea mbuga za wanyama mngesemaje?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…