Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Wake ya zingatieni ushauri wa Obama.mkiendelea na tabia zenu za ukabila mmekwisha.
 
Naona wivu....inaelekea Kenya wamefaidika sana na ziara yake.Kwanini siyo sisi .....hali Mkuu wetu amekwenda Marekani mara kibao
 
Wakenya baada ya kuchapana wameheshimiana na sasa wanaweka NATIONAL INTEREST mbele. Na sasa wanasonga, we need that in Tanzania, not kuchapana but National Interest na sio personal interest.
 
Kabisa Mkuu, asikwambie mtu nyumbani ni nyumbani. Ila kwawaonya sana kuhusu ubaguzi wa aina yoyote, hasa Ukabila na mgawanyo sawa kwenye huduma za kijamii.
All in all Obama amewatendea wakenya haki. Kenyans should proudly of that
 
Wakenya wameitumia vizuri hii fursa, siyo hapa Bongo alimaliza siku 4 lakini hakuna lolote tofauti na kutembelea mitambo ya Simbioni.
Naona wivu....inaelekea Kenya wamefaidika sana na ziara yake.Kwanini siyo sisi .....hali Mkuu wetu amekwenda Marekani mara kibao
 
Duh! mleta mada umeipanga vizuri, halafu kweli hotuba ya Obama imenigusa, jamaa yuko sawa na anaelewa jinsi ya kupeleka point hadi isikike na kukubalika.
 
Rais wa dunia anahutubia muda si mrefu from Kasarani Stadium. Nimeamini no matter what nyumbani ni nyumbani, sijawahi kuona any US President akifanya mkutano kwenye uwanja sehemu yoyote nje ya Marekani.

Kenyan artistes Eric Wainaina, Suzanna Owiyo entertain delegates at Kasarani stadium

=Opposition leaders Raila Odinga, Kalonzo Musyoka, Moses Wetangula, Martha Karua wamehudhulia pia katika uwanja wa Kasarani

CK05n6-WIAArFpK.jpg

Packed stadium as Kenyan students await President Obama's speech

=Auma Obama introducing POTUS to audience at Kasarani Indoor Stadium

=Auma: He is not just our #familia, he gets us.

CK1C6YgVEAAI_Oo.png

=It is great to be back in Kenya.

=Obama: I love you back, I do!

=Obama:Auma alinipokea kwa gari nzee sana aina ya Volkswagen Beetle.Liliharibika mara kadhaa katika safari ya Kogello

=Obama: The first time I came to Kenya, things were a little different. The airport had lost my bag. That doesn't happen on AF1

=Obama: I slept on a cot in her apartment. We were drinking tea and eating ugali...wasn't a lot of luxury

=Obama: There was something more important than luxury - and that was a sense of being recognised...being seen..

=Obama: I was unfamiliar with my father and his birthplace...rather disconnected from half of my heritage.

CKXQRIMUAAEzCqk.jpg

=I am the first Kenyan American to be the President of the United States

=My grandather was a cook for the British. I found a passbook he had to carry as a servant.

=My father came of age as Kenyans were pursuing Independence.

=We know our history so that we can learn from it. We study the past so it can guide us for the future.

=Like any Country, Kenya is far from perfect. But it has come so far.

=New investments are making Kenya a new global hub for trade

=Mpesa is changing the way people use money.

=Maybe the FirstLadyKenya will win a marathon soon, I told @UKenyatta to start running with his wife ~

=Kenya is one Country in this place that clearly observes Freedom of the Press.

=A girl in Rift Valley is far less likely to attend secondary sch. than a girl in Nairobi. Thats a gap that needs to be closed

=In the US we struggle to improve, we are self critical. Whats true for America is true for Kenya.

=Obama:Miaka 30 iliyopita nilipoteza mzigo wangu katika uwanja wa ndege hilo haliwezifanyika katika Airforce one

=Obama:Tukiwa Marekani,tunawaona wakenya wakishinda kila mbio za Marathon. Najivunia

=Obama: Siasa za kikabila zinatishia umoja na uwiano wa watu wa taifa hili la Kenya

=Obama: Mstakabali wa baadaye na ufanisi wa Afrika unawategemea Waafrika wenyewe, sio misaada kutoka kwa wageni

=Obama: Ufisadi hauko Kenya pekee, mataifa mengi yanatatizika sana na ufisadi miongoni mwa maafisa umma Hata Marekani

=Democracy begins with a elections, but does not end with elections.

=Corruption is not unique to Kenya. There is no country that is completely free of Corruption

=Ordinary people have to stand up and say enough is enough.#Corruption

=We are investing in young people of Kenya and young people of this continent. #YoungLeadersInitiative

=Obama: Hapa nchini Kenyani ni wakati serikali sasa ianze kuweka mikakati ya kuangamiza ufisadi,sio tu kubadilisha sheria,La!.

=Obama :Viongozi wanaopatikana na hatia ya kushiriki ufisadi sharti washtakiwe.
Mkenya wa kawaida anataka kuwaona wakiwa mahakamani

=Obama: Marekani inataka Kenya iliyoendelea.Ni kwa sababu hiyo Marekani inawekeza katika maisha ya baadaye ya vijana.

=Obama:Tamaduni zinazodunisha wanawake na kuwadhulumu hazina mahali katika maisha ya leo

=Obama: Ufisadi hauko Kenya pekee, mataifa mengi yanatatizika sana na ufisadi miongoni mwa maafisa umma, Hata Marekani

=Obama: Bila ya kuwaelimisha mtoto wa kike jamii haiwezi kukamilika

=Obama: Treating women and girls as second class citizens is a bad tradition. It holds you back!

=Obama: Kenya will not success if it treats women and girls as second class citizens.

=Obama: The US and Kenya both have Muslim minorities, but those minorities make enormous contributions.

=Obama: I'm here to tell you United States will be a partner every step of the way Good bless you. Asante sana


Eti nyumbani ni nyumbani, msiwe mambumbumbu! Obama ni Mmarekani hata Nyani Ngabu anajua hili.
Je angeenda kutembelea mbuga za wanyama mngesemaje?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom