jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Sijui lakini press in Kenya imelishikhia bango swala hiloKwani umeambiwa hajawahi kwenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui lakini press in Kenya imelishikhia bango swala hiloKwani umeambiwa hajawahi kwenda?
Tajiri anawatia umaskini hawa maskini, the world is not fairYaani hawa watu, hadi shule mabenk wamefunga
Sijui lakini press in Kenya imelishikhia bango swala hilo
Kwa yule anayesema na nakuu "America is the best country in the world".hivi mnatumia vigezo gani.maana mi nachojua marekani inaongoza duniani kwa Military spending,na Idadi ya wananchi wake walioko gerezeni.Hebu mtujuze marekani inaongoza kwa kitu gani chengine
Kwa yule anayesema na nakuu "America is the best country in the world".hivi mnatumia vigezo gani.maana mi nachojua marekani inaongoza duniani kwa Military spending,na Idadi ya wananchi wake walioko gerezeni.Hebu mtujuze marekani inaongoza kwa kitu gani chengine
Ina uchumi mkubwa kuliko mataifa mengine yote duniani.
Ndiyo entertainment capital ya dunia.
Inaongoza kwa kuwa na makampuni mengi ya kimataifa.
Ndiyo nchi yenye ushawishi mkubwa sana duniani kuliko nchi zingine.
Ndiyo nchi yenye vyuo vikuu bora vingi zaidi duniani.
Ndiyo nchi inayoongoza kutoa Nobel Laureates wengi zaidi kuliko nchi nyingine yoyote ile.
Kama unatumia internet, VISA, MasterCard, Coca-Cola, Nike, na kadhalika, basi ishukuru Marekani.
Niendelee......?
Hapo cha maana ni hyo kuwa nchi yenye uchumi mkubwa na vyuo vikuu bora labda ungeongezea na idadi ya millionaires na billionaires lakini kusema kwamba nchi ni bora sababu ya watu wengi kupata tuzo za nobel ni sawa na kusema msanii ni bora kuliko wengine wote sababu kapata tuzo nyingi.sasa kama hata obama alipewa nobel peace price how can u take it serious
jamani naomba mtujuze Obama ata touch down saa ngapi za East Africa?
angalau kwa siku hizi chache ambazo obama atakuwa kenya,wakenya watalala kwa amani,kunywa bia kwa amani,kula githeri kwa amani,kupanda matatu na kusafiri nje ya nairobi kwa amani.ila akiondoka tu,hofu na mashaka dhidi ya alshabab,yatarejea upya.hali duni ya usalama itakuwa kama awali.
Ubarikiwe,tupeni na link za kuangalia hii kitu-maana hii publicity sio mchezojioni kama saa kumi na moja
Teh Tehkwa hiyo kama nambembeleza mamsapu tukapige show watakua wanatusikiliza wapuuzi sana hawa watu.
You Jaluo dont touch the Beast
Bado kama nusu saa..jamani naomba mtujuze Obama ata touch down saa ngapi za East Africa?
Atafika saa ngapi?