Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Sipatii picha wamachinga Wa Kenya wengin watakua central sa ivi maana hii ngozi nyeusi kwa ubishi
 
Kwa yule anayesema na nakuu "America is the best country in the world".hivi mnatumia vigezo gani.maana mi nachojua marekani inaongoza duniani kwa Military spending,na Idadi ya wananchi wake walioko gerezeni.Hebu mtujuze marekani inaongoza kwa kitu gani chengine
 

Vyote vilivyobaki!
 

Ina uchumi mkubwa kuliko mataifa mengine yote duniani.

Ndiyo entertainment capital ya dunia.

Inaongoza kwa kuwa na makampuni mengi ya kimataifa.

Ndiyo nchi yenye ushawishi mkubwa sana duniani kuliko nchi zingine.

Ndiyo nchi yenye vyuo vikuu bora vingi zaidi duniani.

Ndiyo nchi inayoongoza kutoa Nobel Laureates wengi zaidi kuliko nchi nyingine yoyote ile.

Kama unatumia internet, VISA, MasterCard, Coca-Cola, Nike, na kadhalika, basi ishukuru Marekani.

Niendelee......?
 
Samahani ndugu zangu,kila mtu na ulevi wake. Naomba nijurishwe muda atakao wasiri raising Obama wa Marekani ili nikashangae ndege kupoteza mawazo ya kukatwa huko Dodoma wiki chache zilizopita.
 

Hapo cha maana ni hyo kuwa nchi yenye uchumi mkubwa na vyuo vikuu bora labda ungeongezea na idadi ya millionaires na billionaires lakini kusema kwamba nchi ni bora sababu ya watu wengi kupata tuzo za nobel ni sawa na kusema msanii ni bora kuliko wengine wote sababu kapata tuzo nyingi.sasa kama hata obama alipewa nobel peace price how can u take it serious
 

Hao watunukiwa wa tuzo za Nobeli kazi zao ndo huchangia kwa kiasi kikubwa sana maendeleo ya Marekani.

Au wewe unadhani tuzo za Nobeli ni za masuala ya amani tu? Hujui kama zipo na za uchumi, sayansi, na mambo mengine?

Nitajie nchi yenye watunukiwa wengi wa tuzo za uchumi na sayansi za Nobeli.....
 
You Jaluo dont touch the Beast
 

Attachments

  • 1437742501575.jpg
    68.3 KB · Views: 1,219

Wakikinukisha? Terrorists hawana adabu
 
Wasomali wameshaambiwa saa limoja kabla Obama hajatua Kenya-Cellphone zote SOMALIA zitakuwa hazifanyi kazi for two hours
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…