Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Wakenya walililia sana hii hadi kufikia hatua ya kuwa na chuki na mataifa ambayo Obama alitembelea na kuwaacha wao Tanzania ikiwemo. Ikumbukwe kuwa Obama aliposhinda uchaguzi wa kwanza kenya ilitangaza siku moja ya kusherehekea kitaifa lakini jamaa amekuwa akiwaignore baada ya kuona siasa zao hazieleweke na kujiweka karibu nao kungemcost kisiasa kunako U.S.A. Sasa baada ya kuona anakaribia ukingoni ameamua kuwatembelea wakenya.

For years, Kenya has
been a political headache for
President Obama and a geopolitical
headache for the United States. But
now in his seventh year in office, with
his last election behind him, Mr. Obama has decided to embrace his
heritage by visiting the land of his
father for the first time as president.

Mr. Obama will travel to Kenya in July
to co-host a forum on
entrepreneurship as part of an effort
to support economic development in
Africa, the White House announced
Monday. In the process, the president may hope to exorcise some of the
ghosts that have haunted his
relationship with his family’s home
country — so much that he once felt
obliged to produce a birth certificate
to prove he was not born there.

Until now, Mr. Obama has resolutely
avoided stopping in Kenya while in
office, bypassing it during three
previous presidential trips to sub-
Saharan Africa. In addition to the
chattering such a stop would presumably provoke among those
who still refuse to believe he was
born in the United States, the idea of a
visit to Kenya was also problematic
on the diplomatic front because of
political instability and charges of crimes against humanity lodged
against that country’s president.

Source: The Newyork times
 
Mtani karibu back Tz u enjoy kidogo na kupiga hela at the same time.

I'm convinced you Nyang'aus are going to suck every little opportunity out of this summit na si kukenua meno tu!
But brace for inconvenient, with Alshabaab in question naona wamarekani wata move the Pentagon from Virginia to Nai.....lol!

It's going to be a relief to unsafe Kenyans, for a few days their lives will be taken care by experts who know what their doing. I can confidently say Al Shabab is going on a holiday. They probably have kept their guns back into the lockers and are now just watching football. Them CIA's and Pentagon won't play nice to some kids wanting to be famous.

The time Obama is in Kenya, will be the safest Kenya has been for the past 2 years. #fact
 
  • Thanks
Reactions: kui

Yah! True, If Boston was a village in Garissa.
 
It's going to be a relief to unsafe Kenyans, for a few days their lives will be taken care by experts who know what their doing. I can confidently say Al Shabab is going on a holiday. They probably have kept their guns back into the lockers and are now just watching football. Them CIA's and Pentagon won't play nice to some kids wanting to be famous.

The time Obama is in Kenya, will be the safest Kenya has been for the past 2 years. #fact

You think so?!,.....I won't be surprised if they decide to put a show and something happens when Obama is there, they're Terrorists, their main mission is to Terrorize and when Obama is there, pretty much the whole World will be watching and these losers know damn well that, the World will be watching Kenya and that's why I said earlier they might not hesitate to 'perform', as they don't have anything to loose. Lets just pray that innocent Kenyans don't get caught up in their mess, and as you said hopefully Kenya will be safe at least for a couple of days!
 
Ikumbukwe kuwa Obama aliposhinda uchaguzi wa kwanza kenya ilitangaza siku moja ya kusherehekea kitaifa

Wakenya ni wapumbavu wa kutupwa!

Mtu ni raia wa Marekani na kachaguliwa kuwa rais wa Marekani.

Kwenye nchi aliyochaguliwa kuwa rais hakukuwa na siku ya mapumziko kisa tu yeye kachaguliwa kuwa rais.

Lakini huko Afrika kwenye nchi moja iitwayo Kenya eti siku alipochaguliwa ilitangazwa kuwa ni siku ya mapumziko.

Mapumziko ya nini sasa? Mnasherehekea uchaguzi wa rais wa nchi nyingine?

Huo kama siyo upumbavu ni nini? Sasa sitashangaa tena hiyo siku ya ziara ya Obama ikitangazwa kuwa ni siku ya mapumziko.

Kenya declares holiday for Obama
 
wafrika ni watu wapumbavu sana.
 
Hii inawauma wabongo uhusiano wa kenya na marekani itazidi kuimarika kuanzia sasa. Rasilimali na uchimbaji mafuta itafanya kenya kuwa tegemeo kubwa AM na dunia nzima
 
DO you all remember what happened when former Secretary of State(US) Hilarry Clinton visited Kenya? The whole City was't closed down or ppl restricted to walk in the City, but everyone walking towards were Hilary was staying was searched and sniffed by dogs,

the GSU recce squad G comany and secret service was in flull swing
attachment.php

attachment.php

She stayed at the Intercontinental hotel in the CBD and the whole area aroud the hotel was patrolled
attachment.php

this was actualy when vice president joe Biden visited Kenya
attachment.php

at the front gade of the hotel
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Do you also remember the security when Heads of Intelligence services from African countries held a security meetings in Nairobi to discuss on how to deal with radicalization in Africa last year.
Did you notice the security?

attachment.php

Now imagine what it would Be like when the President of the free world visits Nairobi, What would happen if he decides to visit his Grandmother her Kisumu home, Now, Imagine if there are other 50 heads of states from other various countries who will also be in Nairobi....... that will be nightmare!!!! Mombasa road yote itakua imefungwa, what would happen to all flights at JKIA, Kina Obama wanafaa kutumia Wilson Airport, or that Moi aiforce Airbase (although Moi airbase is in eastligh! hehe).
Huwa najiuliza hawa askari wa GSU wanavaa miwani ya nini?
 
Hii inawauma wabongo uhusiano wa kenya na marekani itazidi kuimarika kuanzia sasa. Rasilimali na uchimbaji mafuta itafanya kenya kuwa tegemeo kubwa AM na dunia nzima

Kumbe na nyinyi mnaipapatikia Marekani eeh?
 
Sawa, hapo al-shabaab hawezi karibia, lakini inabidi pia wapewe helmet kama zile za SWAT, hivyo vijikofia haviwezi prevent damage kwenye kichwa.
 
Why is he going to Kenya after all this period as a president? What makes him to go now? Or there is hidden agenda.
 
Can't wait to see how he gonna avoid shaking hands with Ruto (an 'elected' felon!)

Aha ha ha poor you RUTO was never Elected......He was hand picked or better yet selected by The PRESIDENT
 
Kumbe na nyinyi mnaipapatikia Marekani eeh?
hatutishwi na wala hatumuabudu yeyote tunamheshimu kama mtoto wetu anayerudi kujifahamisha na historia yake nyumbani ...Angalia historia yako ni lini marekani kuahidi Kenya pesa kiasi hio isipokua wakati huu.
Kwa nini wakati huu Obama kuja?
 
hatutishwi na wala hatumuabudu yeyote tunamheshimu kama mtoto wetu anayerudi kujifamisha na historia yake nyumbani ...Angalia historia yako ni lini marekani kuahidi Kenya pesa kiasi hio isipokua wakati huu.
Kwa nini wakati huu Obama kuja?

Unafurahia pesa za kupewa na Marekani?

Hakika umezidi kunihakikishia jinsi Wakenya mlivyo wapumbavu.
 
Why is he going to Kenya after all this period as a president? What makes him to go now? Or there is hidden agenda.

Read up there, the reasons for his tour in Kenya are well detailed in the report above. It is a global summit to be attended by sever heads of states and high proflie dignitaries.

I hate pipo who jump into conclusions like this without having their facts right. It only exposes your intellectual inacuity...
 
Aha ha ha poor you RUTO was never Elected......He was hand picked or better yet selected by The PRESIDENT

Hawa watu wanatoa kuwa wakenya sana huku juu deputy president is not elected its the presidential choice that puts him hapo

Wanakwara kila convo bila mpango
 
Back
Top Bottom