Obama: Mwambieni Magufuli nataka eneo Moshi nijenge vacation home

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Obama amewaomba viongozi aliokutana nao uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro alipokuwa akitoka Serengeti kuwa wamfikishie salamu zake kwa rais kuwa anahitaji eneo Moshi ili ajenge nyumba ya mapumziko.
Sababu Kubwa ya kutaka kuwa na nyumba Tanzania Obama amedai Tanzania ni nchi ambayo atakuja na ataendelea kuja kila anapopata muda.
 
Moshi na Arusha ni Ulaya ya Tanzania..


Arusha wazungu wamejaa kila kona....ma-estate ya kufa mtu wanamiliki....Dolly Estate, Momela Ranch Estate, Mawala Estate, Gomba Estate, Peponi Estate, Arusha West Lands Estates
 
Kwanini asiombe yeye mwenyewe..

Mimi kama Magu simpi kama hajaomba yeye
 
Utani pembeni. Obama ana ndugu zake ambao ni Wachaga kwa mama yake wa Kambo. Hivyo akitaka kihamba huko Moshi ni sawa kabisa. Moja ya ndugu yake anaitwa Mark Ndesanjo na Mwingine ni David Ndesanjo. Mark anaishi shenzhen huko China na Obama amewahi kumtembelea huko alipokuwa raisi.

Pia hawa wachagga Mark na David mama yao ni Myahudi hivyo Obama anaweza kwenda kutaka kujenga na Yerushaleym akipenda.

Mama wa Mark na David aliolewa na mzee Ndesanjo wa huko Moshi



Barack akiwa na Mark Ndesanjo
Obama gets five minutes with half-brother in China

Cc Otorong'ong'o
 

Mwambie nampa nitampa eneo pale Chato ajenge hiyo Vacation yake....hataki aondoke sipangiwi Mimi..mipango yenu na Mbowe nimeshaijua.
 
Naona bei ya vihamba Moshi ikianza kupaa

ombi:
nami pia naomba niteuliwe niwe mkalimali wa Binti zake Malia na Sasha[emoji76] pindi wakiwa Moshi

pia nitawafundisha namna ya kutengeneza mtori na mbege[emoji12]
 
Mwambie tutampa eneo Chato ajenge hiyo vacation home yake,na siyo huko Moshi...Chato n jiji na kuna uwanja wa ndege mkubwa na wa kisasa kabisa.maandhari ndo haswaaaa
Man please. Acha wivu wa kijinga. Uwanja wa ndege wa KIA uko moshi tena mkubw akuliko uo wa chato isitoshe ndio lango la utalii wageni hupitia.

Kuna mlima kilimanjaro.

Huko chato zinaingia ndege ngapi kwa siku? Kuna kivutio gani cja maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…