Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Sasa unabishaa!!Kichwa kimejaa mbege hike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unabishaa!!Kichwa kimejaa mbege hike.
Sasa hapo kuna knferiority complex gani..,?? Sijaongelea kusini, wewe umetolea wapi..,?? Kati yangu mimi na wewe nani ana-inferiority complex..Acha kuwa na "inferiority complex" wewe. Iwe ni Kaskazini au Kusini yote ni Tanzania moja.
Jifanye kipofuAnaididimizaje na wewe, mbona watu wengine mnakuwa na mawazo finyu namna iyo
Kujitutumua wakati hujaulizwa hiyo ni "inferiority complex" kama ulikuwa hujui. Mtu anayejiamini hana haja ya kujitutumua. Acha wengine waseme.Sasa hapo kuna knferiority complex gani..,??....
Wakina nani hao waseme..??! Na kwanini nisubiri hao "wengine" waseme...?? Kwanini isiwe mimi ' niseme'..???Kujitutumua wakati hujaulizwa hiyo ni "inferiority complex" kama ulikuwa hujui. Mtu anayejiamini hana haja ya kujitutumua. Acha wengine waseme.
Ona sasa unavyojiona duni mpaka uanaanza kutumia Kiingereza cha kukariri ili uonekane wa maana, ha ha ha. Mpuuzi sana wewe. Hujiamini....Pathetic fool
Kwani wewe ndio unapeana?View attachment 809956 Atapewa tu, that should not be a problem!
Karibu sana
Nimekuambia kumuulize Mrema alifanya nini kwa baadhi ya Wanyarwanda akiwa waziri wa mambo ya ndani,naishia hapa
Wanaweza kupindua vizuri hutaki tunaacha mkuu
Kumbe eeh ? Sawa sawa. Kufuatilia kitu ni mpaka mtu awe mjomba wako ? Uvivu huu wa Watanzania unatia kinyaa .Ridiculous retort, mimi Mrema mjombaangu mpaka nimpate nimuulize? Wewe ndio thibitisha kwamba Mremba alitoa title deeds kwa foreigners.
Lukuvi atatapishwa maneno yake na nyongo juu akithubutu kutoa title deed kwa foreign subject.
Tutampa Chato. Acha ujuajiMan please. Acha wivu wa kijinga. Uwanja wa ndege wa KIA uko moshi tena mkubw akuliko uo wa chato isitoshe ndio lango la utalii wageni hupitia.
Kuna mlima kilimanjaro.
Huko chato zinaingia ndege ngapi kwa siku? Kuna kivutio gani cja maana?
Gomba estate siku hizi ni makazi ya watu, ilishapimwa na kugawanywa kuwa makazi ya watu mkuuMoshi na Arusha ni Ulaya ya Tanzania..
Arusha wazungu wamejaa kila kona....ma-estate ya kufa mtu wanamiliki....Dolly Estate, Momela Ranch Estate, Mawala Estate, Gomba Estate, Peponi Estate, Arusha West Lands Estates
Hahah too late man. He is off to kenyaTutampa Chato. Acha ujuaji
Wewe endelea kujifanya nyumbuJifanye kipofu
Kaskazini siyo Tanzania. Acha kujipendekeza.Acha kuwa na "inferiority complex" wewe. Iwe ni Kaskazini au Kusini yote ni Tanzania moja.
Wewe mpumbavu acha upumbavu wako. Kama sio Tanzania ni wapi, Somalia? Ha ha ha, mbona unaweweseka sasa?Kaskazini siyo Tanzania. Acha kujipendekeza.
Anayeweweseka humjui? Mwambieni ampe kiwanja Obama huko Ruaha Iringa.Wewe mpumbavu acha upumbavu wako. Kama sio Tanzania ni wapi, Somalia? Ha ha ha, mbona unaweweseka sasa?
Hata jiografia ya nchi yako huifahamu. Kaskazini ni wapi?Anayeweweseka humjui? Mwambieni ampe kiwanja Obama huko Ruaha Iringa.
Tatizo mnapoibaguwa kaskazini mnasahau aliyekuzidi kakuzidi tu, kubali kujifunza toka kwao.
We ndiyo unaweweseka ukisikia Kaskazini siyo Tanzania. Acha tabia za kishoga.Wewe mpumbavu acha upumbavu wako. Kama sio Tanzania ni wapi, Somalia? Ha ha ha, mbona unaweweseka sasa?
Ha ha ha, aisee sasa mbona inaonekana unapenda sana ushoga, kulikoni?We ndiyo unaweweseka ukisikia Kaskazini siyo Tanzania. Acha tabia za kishoga.