Obama na Michele watimiza miaka 30 kwenye game, hamna hata siku moja Michelle aliomba hela eti gesi imeisha.

Sio mbaya akimtumia kama role model ila ahakikishe anafanya hivyo kwenye maeneo yote. Hauwezi kuchagua eneo Moja ukaacha lingine.
Kama umemsoma kwenye mistari utagundua anataka mke wake asikae hata simu moja akamuomba hela ya mahitaji ya nyumbani ndiyo maana nikamwambia afuate maisha yetu ya Kiafrika akamuulize baba yake kama mama yake amewahi kuacha kutaka huduma za familia kutoka kwake.

Tuna ombwe kubwa sana sasa hivi la vijana kukataa kuhudumia familia wakitaka wasaidiwe na wake zao.
 


Nimemdoma vizuri sana, lakini huyo mwanamke amewezeshwa kufikia hiyo hatua. Hata hivyo Kwa hadhi ya maisha waliyopitia na hatua waliyopiga, walushaondoka huko kwenye kuhangaika na hivyo vitu. Ndio maana nikasema, na yeye pia amefanya vitu Kwa kiwango Cha Obama?

Kwa upande mwingine, MSAGA SUMU namuelewa, ni mwana Sanaa anaependa kutoa burudani kupitia maandiko yake, jaribu kupitia kazi zake hapa utamuelewa. Ni mtoa burudani mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…