Umasikini tu unawasumbua, kwa mwanaume yeyote mwenye hela na akili timamu anayabeba majukumu yote ya nyumbani kwake, mwanamke anakuwa anajiongez vichache kwa kupenda tu siku hizi vijana mnataka mlelewe kama mademu, gas iishe kwako useme ni jukumu la mke? Eti kwamba mkeo anahitaji kwenda salon aende ATM kwake akatoe pesa na mwanaume upo? Kwa mwanaume kamili sio bwabwa anahudumia vyooote regardless mwanamke ana pesa au hana......mume wangu ananiambiaga una kiherehere unataka tushindane humu ndani akikuta nimeclear chochote bila kumshirikisha