Kwema wakuu, samahani aisee, nilitaka kujua ni kwa nini Obama moja ya vitu vilivyomleta Kenya ni kuzungumza na wafanyabiashara, wawekezaji na wajasiriamali? Nadhani hata hapa kwetu Tanzania alifanya hivyo, kwa nini hili kundi na isiwe makundi mengine?