Obama naye yumo!

Obama naye yumo!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
0709_obama_11032342_h8320192_landov.jpg
 
Naona jamaa itabidi ampe Michelle maelezo ya how-kemu?

Mcheki Sarkozy naye kwa ubavu...mmmhhhh!!!!
 
Naona Obama unacheki msondo huo, mwenzake Sarkozy ndo du!.
 
Mara moja moja si vibaya kwani wakati mwingine utokea involuntarily.Unajikuta tuu umepoteza network.
 
Ndo utajua Berlesconi na Sarkozy hawatoshi!!!!!
 
Macho hayana pazia, hapo ndio wanaume tunaposhikiwa hata uwe na misuli au nguvu za nyuklia.. hapo utanywea tu.. Du kama vile Obama anasema cheki kiuno ka nyigu vileee... By the end of the day lazima uenjoy.....
 
Kaazi kweli kweli..lakini wahenga walisema kazi na dawa...
 
jamani ukweli unabaki palepale ya kuwa sisi wanaume rahisi kutegwa kwenye tundu dogo la wanawake haijalishi ya kuwa wewe ni nani?
 
Ni binadamu kama wewe vinginevyo marais wawekewe vizuizi vya aina yake wanapokuwa hadharani
 
Back
Top Bottom