Obama ni Socialist au Liberal Conservative??

Ni kweli kabisa ndio Maana Hapa Marekani kuna Makundi mengi sana katika wale ambao wanajiita Pure Conservatives na hata ukienda baadhi ya sehemu utaona tofauti kubwa sana jamii na jamii. Siku moja nilikuwa katika lectures za African History chuo Hapa America na hivyo watu wengi sana America wanaogopa sana kuona kuwa Socialism za Obama na Niliongea baadhi ya watu toka Republican wa South wengi wanaona hivyo. Lakini mfumo wa afya America ni mbovu sana
 

mh, unaweza kuniambia hao democrats na conservatives wanamisimamo gani ya ideologies? Mimi nakwambia hizi ni misconceptions and usage of the terminologies. Overtime media na watu wa kawaida wamekuja kuharibu maana yake. Who is a social democrat? and a conservative democrat? Does it make sense kuwa na a democrat? Kwani maana ya democracy ni nini? Furthermore, who are liberal democrats? Yote haya ni tags wamejipa tu. But they all fall under one umbrella - LIBERALS. Actually ukiangalia maana ya liberal na democracy, ni vitu viwili tofauti. Democracy = govern by the people/majority. Liberal = individual freedom. How do the two mix? Haya ni maoni yangu, and would love to hear further from you...
 
Wanasema kama sikosei watu zaidi ya elfu 60 hufa kila mwaka kwa kukosa insurance,makampuni ya insurance yanatengeneza pesa nyingi na kuzifuja kwa mishahara na matanuzi ya ma CEO'S,halafu wanapandisha premiums wanavyotaka,hawana competition na pia hawana emphathy,halafu mtu akipata matatizo vinamtema,ama preconditions nyingine za kijinga zenye kubagua kama ile zenye kuwabagua wanawake wenye historia ya c-section,na sababu nyingine za kiajabu ajabu tu almuradi wachukue pesa zaidi ama wakuteme ukipata matatizo,nilimsikia Michelle Obama kwenye moja ya speeches zake za ku support health care bill.
 
Sasa ndio maana watu wengi sana wanakwenda Canada hata baathi ya watu wanatumia Madoctors toka Indiana, yaani wanascaan picha na vipomo na utaalamu wote unatoka India, Hivyo watu kama hizi corporate zinanufaika sana, na working class wengi sana wanapata shida sana America. na kufanya kazi masaa mengi sana
 

Mkuu hapo naomna wewe ndiyo ume mix,wanapozungumzia "Individual Freedom" haina maana ni kuwa tofauti na democracy kama unavyodhani,kwa mfano conservatives wanaweza kuwa wanaogopa liberals kwa kusimamia principle ya individual freedom wanakuwa wamevuka mipaka kwa mfano issue ya gay rights na issue nyinginezo...Historia ya liberalism largely ilikuwa ni mpambano wa philosophy hiyo dhidi ya mornachies ambao walikuwa wanagandamiza individual freedoms,historia ya liberalism ni ndefu, hata hivyo individual freedom haina maana kuwa kinyume na democracy.
 
Sasa Je Mawazo ya Obama yanaweza kunufaisha Jk na Kama ni kweli kuwa Bush alikuwa kipenzi cha Jk kuliko Obama, Vipi Sera za Demo kuhusu Africa??
 

okay mh, i get u. It was a subtle difference katika argument yetu. Nilipotumia term ya "individual freedom", nilikuwa natumia as a sum up of their philosophy. B/c that is the basis of their stand. Kwa hiyo unaposema a conservative, yeye bado ni liberal lakini aliye mgumu kubadilika kufuatana na social changes. Kwa hiyo wao wanakuwa on the right wing of the liberal scale. Kina Obama wao ni social liberals...yani wako upande mwingine wa scale. Ndo maana ile speech yake Notre Dame on abortion, nk iliwafanya wengi wa-mind....lol. Na sasa kutaka health care iwe public, wale conservatives lazima wa-mind. It goes against their stance. Kwa hiyo kumjibu jamaa, Obama is neither a Socialist or a Liberal Conservative bali ni Social Liberal.
 
Sasa huyu jamaa nimweke katika kundi lipi linapokuja katika kujali maslahi ya watu wake
 
Sasa huyu jamaa nimweke katika kundi lipi linapokuja katika kujali maslahi ya watu wake

I take him on his words. Yeye anataka kurudisha Marekani kwa middle class. Healthcare costs/insurance ndo zinawaua middle class. So i would think he cares for the greater good of his people. Ubepari umewashinda, nchi haijatulia. Time for change ndo hii.
 
Ukitazama kwa kwa kiasi gani degree ambayo Wamerican wameinject pesa katika Mabenki yao na Huduma zao toka wa Federal government bila shak unasema kuwa ni elements za Socialism kabisa ila wao wanakataa, huwezi kuwa na soko huru bila usimamizi imara kama hivi ilivyo leo
 
Sasa Kama Obama anataka kusimamia kila kitu na kuona Health care services ya America inawapa fursa sawa Wamerican wote
 
Obama bado anaweza kuwa na msimamo tofauti sana hata kama Wamerican wanaweza kuona kuwa umekuwa cow socialism lakini ukweli unabaki pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…