Liberal conservative ni term inayotumika kuwa define wale wanaokubaliana na baadhi ya mielekeo ya both liberal and conservative idealism.Wale wanaowaletea shida Democrats ni wale conservative democrats ambao wao never consider themselves as liberals...Hata hivyo ukumbuke kuwa kimsingi chama cha democrat kina misingi ya uliberal only ni kwasababu over time kuna issues ambazo zimekuwa zikidetermine siasa za marekani na hivyo kupelekea hao wenye kujiita wenye misimamo ya kati kuchaguliwa zaidi,issue ambazo zinaangukia kwenye mipaka ya conseravtisim ama liberalism,na ambazo zimepelekea miganyiko alongsde those lines ni issues kama abortion,gay rights,war with the islamists,this time public health care and so forth.