Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Kwa Kipindi karibu miezi kadhaa, Wamerikani wengi sana wamekuwa wanahoji kwamba Obama achane na Mpango wa Kuboresha sekta ya afya,
Karibu Robo tatu nzima ya watu wamerikani hawana social health plan ya afya hivyo hulazimika wakati mwngine kwenda Canada kwa ajili ya kununua dawa kwa bei ya chini.
Kutokana na Mpango wa Obama wa kuboresha mipango anataka utajiri wa Wamerikani utolewa na huduma ya afya ipatikane kwa ajili ya watu wote. Hivi Majuzi kulikuwa na maandamamo makubwa sana katika jiji la Washington DC. Na baadhi ya watu wanasema kuwa Obama ni Socialist.. Je Wadau hii ni kweli?? Je Mipango ya Obama inafanana na Mipango ya Jk Tanzania?? Je JK akiongea na Obama Mawazo yao yanaweza kuendana au kutofautiana sana?? Je Jk anaweza kuiga mipango endelevu kwa ajili ya Taifa la Tanzania?? Je tutaendelea kukumbatia mifumo ya Capitalist ambayo Obama Ameamua kuachana nayo??