Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonyesha akina mama watampa!Jamaa alihojiwa na power breakfast ya cloouuuds akasema " dah ni katika kukumbatiwa kumbatiwa na kina mama wa UWT nikashangaa upande wa tenge uko begani bwana..." sikiliza hiyo audio clip for more...
Labda anapenda upande wa pili zaidi! Ni mtizamo tu
Jamaa alihojiwa na power breakfast ya cloouuuds akasema " dah ni katika kukumbatiwa kumbatiwa na kina mama wa UWT nikashangaa upande wa tenge uko begani bwana..." sikiliza hiyo audio clip for more...
kuna jamaa alibeba chupi ya mkewe akidhania kabeba leso....! mbele za watu akajifuta jasho...! loooooo!!!!!!!!!!
mbaya zaidi ilikuwa haijafuliwa....!
sasa jamaa alidhani kabeba bendera ya sisiemu...! :becky::becky::becky: