Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Kaishapokelewa na anaspent Serengeti kabla hajaenda Kenya kapita kifamilia zaidi wanataka privacy na kuinjoy mazingira ya Tanzania kwa raha zake na familia yake kama watalii wengine.
Its normal Kenya msione wivu ni kawaida uwezikuja east Africa kama mtalii mkubwa usipite Serengeti au Kilimanjaro labda awe mtalii koko au amekuja kuwekeza kwa gia ya utalii
Its normal Kenya msione wivu ni kawaida uwezikuja east Africa kama mtalii mkubwa usipite Serengeti au Kilimanjaro labda awe mtalii koko au amekuja kuwekeza kwa gia ya utalii