Obamas in Hawaii for Christmas holidays.

Obamas in Hawaii for Christmas holidays.

Mazee mapigo ya Obama yako bomba sana. Mi nadhani being a president kuna wakati una-miss vitu fulani.Hivi siku moja JK nae angeamua yeye na familia yake wakaingia hata Marry brown wakajichanganya kuna ubaya? Mtu kila wakati unazungukwa na walinzi as if hukutoka huku kwa watu hawa? Itabidi jamaa zetu pale magogoni wamshauri muungwana ajichanganye ati au wanaogopa watampiga kabali ya mbao? Thanks for these pictures!!
 
Mkuu karibu sana,

umenichekesha kweli...eti muungwana anaogopa kupigwa kabali nd'o maana
hajimiksi na uma sio? That was funny...😀
 
slide_4251_59831_large.jpg
Dah lakini sio mchezo, stress za nchi zinamzeesha mkulu...mnakumbuka alivyokuwa wakati anaaza kampeni??

Kuhusu Prezidaa wetu kujichanganya, nasikia kulikuwa na kajimaskani fulani hivi mitaa ya kinondoni alikuwa anajichanganya, nahisi hadi hapo walipomtisha kuwa anaweza akakwidwa shati na waliochoka basi akasepa...
 
Hawaii needed this so much, kuna article katika The Economist ya wiki hii iliyoisha wanaongelea jinsi state ilivyopigika kutokana na decline ya tourism.

Ona hapa
 
Back
Top Bottom