Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Mama huyu ni mpumbavu aliyejawa na chuki dhidi ya OBAMA kwa sababu ya rangi ya ngozi yake na uhusiano wake na uislamu. Namshauri auridishe digrii yake ya udaktari huko alikoitoa kwa sababu anaaibisha kabisa hadhi ya udakitari. Anaongea kama mtu ambaye hakwenda shule, utadhani changudoa, wala hawezi kujibu maswali kwa mkato.
Angalia:
(1) Katiba ya Marekani inamtaka mtu anayetaka kuwa rais wa Marekani awe ni raia aliyezaliwa Marekani. haiangalii wazazi wake walitoka wapi. Nafasi pekee inatolewa kwa watu waliozaliwa nje ya Marekani kwa wazazi ambao ni raia wa marekani.
(2) Anashindwa kufahamu kuwa wakati Obama anazaliwa mwezi August mwaka 1961, Kenya ilikuwa haijapata uhuru. Kenya ilipata uhuru wake December 12, 1963 na ikawa jamhuri December 12, 1964 wakati ambapo baba yake Obama alikuwa ameshaoa mwanamke mwingine Ruth Nidesand aliyezaa naye watoto wawili.
(3) Angefanya utafiti wa kutosha vile vile angegundua kuwa mwaka huo wa 1961 Kenya, ikiwa koloni la mwingereza, hati zote za serikali zilikuwa zinaandikwa kwa mkono kutumia kalamu za kuchovya wino, siyo kwa taipuraita.