Obama's - Post Election Thread


LOL... how exactly do you say "House Negro" in Arabic?

(Abeed A-beit,") = House slave = Mtumishi wa Ndani a.k.a Beki tatu au (Mtumwaa wa ndani ya nyumba).

"house Negro" ni maneno aliyowahi kuyatamka Malcom X, akiwapiga vijembe waafrika wa kimarekani kwa kuwasapoti weupe. Baadae aliwaomba radhi baada ya kutoka hajj.
 
Last edited:

So where did the media get the term "Negro"? Or is slave = negro in Arabic? Is the media trying to antagonize Bantus against Arabs or what?
 
Jamani just to make it clear:
Al Qaeda's message iliweka footage ya Malcolm X ya radio superimposed with grainy photos ambapo Malcolm X alizungumza maneno yake kuhusu "Field Negroes and House Negroes" Na ndipo Al Zahawiri alisema Obama ni Abeed A-beit. Na translation hata wakati Malcom X anazungumza kuhusu house slave ilitumika neno hili hili. So that is what AQ wanted to say. There's no 2 ways about it, and no reasonable explanation about this other than that AQ is racist!
 

True dat Susuviri,

Kisha kumbuka the quotations they are using zilikua back when Malcolm
was still the uncut radical.Alipo-hiji Mecca hayo matamshi yote aliyaacha.
AQ, apart from being terrorists, are also a racist minded organisation
which is slowly losing relevance as time goes by.
 

I beleive that the world will be a better place when radicals (regardless of which religion) become less relevant! Just as I cannot stand the far right Christians in Europe and the US, ditto for Al Qaeda and other radical Muslims. Lakini nadhani both sides have a deep hatred for Obama because he is neither and he has spoken out against it even though it concerned his pastor Rev Wright!
 
Itabidi WanaJF na sisi tujiite counter terrorism experts maana tuliyoyatamka yanaandikwa sasa in the US! :LOL


Kumbe!! Wanajifanya wanashika dini sana kumbe wabaguzi! Duh!
But honestly I didn't expect better from AQ, ni matapeli tu kama hao extreme right preachers like Jim Jones etc!
 
Marekani si waondoe hayo majeshi yao huko Afghanstan na Iraq...! Kisha tuone hao Al-Qaida watamlipuwa nani....?

Watu kwenye nchi zao hawataki kuona majeshi ya kigeni, lakini U.S wanang'ang'ania tu... wanauwa watu wasio na hatia kila siku kwa visingizio mbali mbali... na hakuna media au nchi zinazo laani mauwaji hao... Yaani watu wasiende hata kwenye harusi... mkusanyiko kidogo... linashushwa bomu...!

CIA+Al-Qaida = Ugaidi
 

kwani kabla ya Sept. 11 kulikuwa na wanajeshi wa marekani huko Iraq au Afganstan?
 
Hivi Obama ndiyo angekuwa Raisi wa kenya ingekuwaje maana duh kenyans wamechukliwa ushindi wa obama kama vile ndiyo raisi wao kuliko hata American wenyewe daaaaaah!...hembu check this out!!.....



MDOSI.COM-FRAKAZ.COM-DJ XP.COM-2KAT.COM-PEWA HEWA ENT-UMOJA ENT-SAMBAZA-CODE RED USA-MEZESHA ENT-JAMHURI WEAR-WAZIMU.NET-WALAPIT.COM-NAGIE ENT-EZY ENT-KENYA VIBE
& The ENTIRE WASHINGTON DC/BMORE KENYANS

present

OBAMA INAUGURATION WEEKEND EXTRAVAGANZA.

WASHINGTON DC(JAN 16TH- JAN 20TH)

HISTORY WILL BE MADE...

KENYAN IN THE WHITE HOUSE

ONE IN 3 MILLION TO WITNESS

WHERE ARE YOU GOING TO BE?

BOOK YOUR TICKES NOW..

VENUES: 4 GREAT VENUES t.b.a

ARISTS -MAJOR KENYAN n LOCAL ARTISTS. t.b.a

DEEJAYS- TOP DJ'S FROM ALL OVER TOGETHER AS ONE. t.b.a

INCLUDES
...A NIGHT OF ELEGANCE..
BALL ROOM DINNER DANCE(BAND N DJ) WITH DIGNITARIES FROM KENYA AND EMBASSY..PACK YOUR SUITS PLEASE

THIS WILL BE THE BIGGEST AND MOST MEANING FULL KENYAN EVENT..

BE PART OF HISTORY

MORE KENYANS WILL BE IN DC THAN ANY PARTY IN THE U.S....DONT MISS OUT.

DETAILS OUT SOON...
 
Obama ni Mjaluo na 'hajatahiriwa' hivyo hawezi kuwa rais wa watu waliotahiriwa kama Makikuyu
 
Walisema wenyewe, ni rahisi kwa Jaluo kuwa rais wa Marekani kuliko kuwa rais wa Kenya.

Ma potential presidents wa ki Luo kina Tom Mboya na Robert Ouko waliuawa.Baba yake Obama mwenyewe alikuwa serikalini Kenya na aikuwa frustrated na kina Kenyatta, so most probably asingefika popote near urais.
 
Wangemwambia aende akagombee kwao Marekani !!! Wala wasingekubali kumuita Mkenya!
 
Lakini Pundit come to think about this right?Obama is not from Kenya his father ndiyo happen kuwa from kenya but as far as him hawezi kusema i am from kenya you know..he has been to kenya but i doubt hata kama anajua any kenyan/african culture..yeah we all happy we finally have african american in white house but keep in mind hana say yeyote na kenyan govrment..yeye ana represent united state..why should kenyan take this is big deal for them?....
 
Obama ni Mjaluo na 'hajatahiriwa' hivyo hawezi kuwa rais wa watu waliotahiriwa kama Makikuyu

tehe tehe tehe ndo maana vichwa vya ki-luo havipati Urais licha ya kustahili kwi kwi kwi.
 

I am thinking from a person with a Kenyan father and mother, living in Kenya all his life, with the intelligence and appeal of Barack Obama.

It is sheer foolhardy to advocate an American citizen to be a President in Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…