Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Tea Partiers na GOPIERS naona huwa wanachanganyikiwa kabisa wakimuona jinsi jamaa anavyo-shine nje ya US.:smile-big:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wamekamilika.
Duh!! ila hiyo ofisi si mchezo! naona Obama amekuwa mzee ghafla..kichwa ni mvi tupu
Shurkrani mkuu kwa nice photos..Wazungu hawapendiiii hahahah Republicans kama nawaona vile karibu wanapasuka wakiona hivi lakini they getta know Obama is a 'SHINING STAR ' worldwide.
Ukiwa na mke kama huyu hakna haja ya kutoka nje ya ndoa kabisaaa
Ab_T
Huwa nafikiri kama una "hisia" fulani na Michelle O. : Ni mawazo yangu tu:tape:
Halafu wanavyojaribu kuiweka ionekane simpo (viti, meza na makochi), lakini shughuli yake ni pevu.Yaani wamekamilika.
Duh!! ila hiyo ofisi si mchezo! naona Obama amekuwa mzee ghafla..kichwa ni mvi tupu
Umestukia eeeeh, mie pia nilikuwa nafikiria kama hivyo ila nikaona nikae tu na fikra zangu.....:smile:
Ab_T tuanzishie na za Sarah Palin basi; Si unajua ndie darling wao wa mrengo wa kulia.