Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapima fault upande wa engine tu,inasoma fault code na kufuta, pia show live data stream. Ina support magari yanayotumia obd2 kuanzia 1996 hadi sasa. Inaweza kutumiwa na mafundi au mtu binafsi mwenye gar kwan ni rahisi kutumia.
Bei: 250,000
0714704097
Mkuu saa nyingine mheshimu biashara za watu hata kama inauzwa iyo bei ujue kuna charges nyingine.
Naheshimu sana biashara za watu na napenda mtu afanye "informed decision" anapotaka kufanya uamuzi wa kununua kitu au kutokununua. Soko huru ni wakati unapopata nafasi ya kulinganisha bei ya bidhaa. Anayeweza kuagiza nje aagize asiyeweza anunue kwa jamaa. Simple. Hapa JF tunasaidiana na sio kukomoana. Hiyo la kujifanya najua sana umeongea wewe.Mkuu saa nyingine mheshimu biashara za watu hata kama inauzwa iyo bei ujue kuna charges nyingine.
Kuna kusafirisha maushuru bado mleta mada analipia frame umeme na bando la kuandika humu kuna conviniences mbali mbali kama kusubiri mzigo etc
so kama anauza bei hiyo ujue kuna vitu viko calculated sio unajifanya unajua sna