1. OBWA TOMBWAGA Kwa Kijita maana yake ni HUU MTUMBWI WA NANI?
wewe ni noumer..Asante kwa kunisahihisha jaji
hiyo maana ya manyoni na chunya sio kweli kabisa umedanganya
inatakiwa iweje?... kwa ajili ya knowledgehiyo maana ya manyoni na chunya sio kweli kabisa umedanganya
1. OBHWATO MBWAGA Kwa Kijita maana yake ni HUU MTUMBWI WA NANI?
2. MANYONI kwa kisukuma maana yake ni PAPUCHI.
3. CHUNYA kwa Kisukuma maana yake ni Kuingiza Dushelele kwenye Papuchi ( Edit Needed )
4. KUBHIKIRI Kwa Kikurya maana yake ni KUFIKIRI.
Tupia maneno mengine hapa yenye utata. Vizuri kufahamu lugha mbalimbali za hapa Tz ili unapokuwa kwenye mkoa inapo zungumzwa lugha hiyo uwe makini na matamshi yako.
kinyero kwa kijita ni aina ya mboga kwa kingoni ni pale mahali inapotoka aja kubwa