Obhwato mbwaga?

Obhwato mbwaga?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
1. OBHWATO MBWAGA Kwa Kijita maana yake ni HUU MTUMBWI WA NANI?

2. MANYONI kwa kisukuma maana yake ni PAPUCHI.

3. CHUNYA kwa Kisukuma maana yake ni Kuingiza Dushelele kwenye Papuchi ( Edit Needed )

4. KUBHIKIRI Kwa Kikurya maana yake ni KUFIKIRI.

Tupia maneno mengine hapa yenye utata. Vizuri kufahamu lugha mbalimbali za hapa Tz ili unapokuwa kwenye mkoa inapo zungumzwa lugha hiyo uwe makini na matamshi yako.
 
Waghenda majita -------- maana yake unaenda majita kulala huko(kulalamo)
 
hiyo maana ya manyoni na chunya sio kweli kabisa umedanganya
 
NENE
1. kwa kihehe maana yake MIMI
2. Kwa kiluo maana yake MUONE
 
1. OBHWATO MBWAGA Kwa Kijita maana yake ni HUU MTUMBWI WA NANI?

2. MANYONI kwa kisukuma maana yake ni PAPUCHI.

3. CHUNYA kwa Kisukuma maana yake ni Kuingiza Dushelele kwenye Papuchi ( Edit Needed )

4. KUBHIKIRI Kwa Kikurya maana yake ni KUFIKIRI.

Tupia maneno mengine hapa yenye utata. Vizuri kufahamu lugha mbalimbali za hapa Tz ili unapokuwa kwenye mkoa inapo zungumzwa lugha hiyo uwe makini na matamshi yako.

kinyero
kwa kijita ni aina ya mboga kwa kingoni ni pale mahali inapotoka aja kubwa
 
lyato,mvwa na nyamu...ni kisukuma maana yake mtumbwi,mbwa,na paka ...ila linaweza maanisha........limetiwa na paka ....
kisukuma bwana
 
"Bharora" kwa kurya yaweza maanisha 1. pasua 2. wameshaona 3. wamekuwa wakali 3. ni wagongwa. ila zingatia matamshi.
 
Back
Top Bottom