Tatizo huna uthibitisho umeweka tu picha yakeMshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC, kesho anategemea kusaini mkataba ndani ya mabingwa hao wa Afrika mashariki na katiView attachment 924846zamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC, kesho anategemea kusaini mkataba ndani ya mabingwa hao wa Afrika mashariki na kati
Kamkataa kwa kutegemea forward gani?Mwinyi zahera kamkataa
uncle ngassaKamkataa kwa kutegemea forward gani?
Clouds wametangaza sasa hiviTatizo huna uthibitisho umeweka tu picha yake
Mama zaheera jaazi na 9 mgongoniKamkataa kwa kutegemea forward gani?
Zambia njaa alafu jitu linalingalinga ..mbona karudi Bongo#shubamitkengezake