Obrey Chirwa atua Azam

Obrey Chirwa atua Azam

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC, kesho anategemea kusaini mkataba ndani ya mabingwa hao wa Afrika mashariki na kati
FB_IMG_1541603497205.jpg
zamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC, kesho anategemea kusaini mkataba ndani ya mabingwa hao wa Afrika mashariki na kati
 
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC, kesho anategemea kusaini mkataba ndani ya mabingwa hao wa Afrika mashariki na katiView attachment 924846zamani wa Yanga Obrey Chirwa atajiunga Azam FC, kesho anategemea kusaini mkataba ndani ya mabingwa hao wa Afrika mashariki na kati
Tatizo huna uthibitisho umeweka tu picha yake
 
Ni mchezaji mzuri kwa ligi yetu,hata Yanga tulimpoteza basi tu tatizo kufulia ila yupo vizuri
 
kila kocha na slogan zake, uyo chirwa atafit zaid kwa pruijm
 
Si alisema magoli anayokosa makambo hata mama yake angeweza kufunga
 
Daaa roho imeniumaa kweli kweli, chirwa angetu faa sana kipindi hiki kigumu, ila mwenye kisu kikali ndiye anakula nyama hongera zenu azam kwa kutuzidi kete, ila kamati yetu ya usajili ikae kimya tuu, ikibwabwaja itahamsha hasira zetu!
 
MLITAK ARUDI TUENDEELEE KUMKOPA MSHAHAR EEH SI WATU WAZURI KABISA NYIE FAMILIA YAKE ILE MATIKITIKI
 
Back
Top Bottom