Obrey Chirwa nikiumbe msumbufu uwanjani eeh au macho yangu?

Mimi Nimecomfirm Kuwa Kila Palipo na Kila Washabiki Wanne Wa Yanga aka Masufuria FC basi Watatu ni Vichaa!!! Hivi Nyie Bado Munatamaa Ya Ubingwa??? Bado Hamtaki Kukubali Kwamba Marahii Simba ni Bingwa?
 
Simba bingwaa... Mo amekula kona njaa inarudi ...mpira pesa
 
Mimi Nimecomfirm Kuwa Kila Palipo na Kila Washabiki Wanne Wa Yanga aka Masufuria FC basi Watatu ni Vichaa!!! Hivi Nyie Bado Munatamaa Ya Ubingwa??? Bado Hamtaki Kukubali Kwamba Marahii Simba ni Bingwa?
Mkuu mkopo wa chuo ushapata? Maana vyuo vishafunguliwa km bado tukuchangie.
 
Back
Top Bottom