bogosho
Senior Member
- Jan 5, 2018
- 151
- 352
Jamaa ameandika stori yake ya ndoa kuhusu kuachana na mke wake amemkandia kwamba mke wake ndo chanzo cha kuvunjika ndoa na mambo mengi tu
Sema sasa sijaelewa kabisa chanzo cha hiyo ndoa kuvunjika maana anasema wabongo waishio New York ndo walichangia zaidi yeye kuachana na mke wake kwasababu walikuwa wanamchukia na hajaeleza chanzo cha wao kumchukia mana stori yake hajasema kama alikuwa na tatizo na mbongo yoyote
Sasa swali langu huyu jamaa alikua anachukiwa kwa kosa gani?
Mimi ninavyojua huwezi kuchukiwa na watu wote bila sababu ya msingi it is obvious Le Mutuz alikua mkorofi ndio maana jamii yote ya wabongo New York ikamchukia.
Ps: Hio ni observation yangu tu kuhusu stori yake don't take it personal