Observation yangu kwenye stori ya Le Mutuz

mzee baba nimeshasema don't take it personal nimesoma stori yako kweli nmevutiwa na uandishi ndo maana nikaisoma na ni nzuri sana stori yako
umepitia mengi na hayo maoni yangu hayakua yamebase kwenye chuki labda kama io chuki unataka kuitengeneza sasa hivi
swali langu kuu ni kwamba why the hell uchukiwe na jamii nzima ya wabongo New York? ulikua kasoro gani kila mtu akuchukie? huwez kupendwa na kila mtu ilo tunafahamu ila pia huwez pia kuchukiwa na jamii nzima ya wabongo afu useme walikua wanaona wivu maendeleo yako pale Us na hapo hapo husemi kasoro zako

tatizo la watu kama le mutuz ambao wanashambuliwa sana na jamii ni kwamba kila mtu anamwona ni hater badilisha io mindset bwana ukiprint kitabu kikawa na mapungufu kama hayo watu wataona ni kama hadithi za kusadikika unapewa changamoto utengeneze kitu bora sio unawaza kila mtu anakuhate

ona sasa, mimi nishakuwa Le mutuz umejiunga mwaka 2018! nimejiunga 2008, najulikana mpaka kwa majina yangu halisi humu!!

ile ni sindano mkuu, huwa inauma na naona unarusha mateke, ebu tulia kabisa

siyo ya mkononi au pajani hii....taratibu; una ruhusa ya kupiga kelele useme 'mamaaa' au 'babaaa'

Dawa haina utamu katu
 
Uwe mwanamke au mwamaume, huwezi kuwa na tumbo kubwa kama la Le Mutuz na ndoa yako ikadumu.
mbona huyu bado ninaye!!!
dada zegembe.jpg
 
1. unatumia ID feki, in other words hatukufahamu kabisa , mwenzio anajulikana na unajua ni nani na came out boldly to write the facts, so wa kuja kupinga ni aliyekuwa mkewe

2. haujaelewa chanzo cha ndoa kuvunjika, (ulitakiwa kuuliza, au soma tena)
3. umefanya vizuri sana kuuliza alikuwa anachukiwa kwa kosa gani -hongera
4. obvious....na uka conclude, umeishajibiwa swali? obvious ume fanya citation ipi? basis ya conclusion zako ni nini? ( refer waliomchukia, na angaia na wewe unachofanya, haoni mnaangaukia kapu moja), wivu, chuki na predetermined judgement! wabongo wengi mko hivyo ni wachawi

5. who is bashite? anaingia vipi kwenye hii story?

The fact that umefuatilia story yake mpaka hatua ya sasa, ni uthibitisho tosha kuwa ubongo wako, energy yako, uwezo wako na muda wako uli u dedicated humbly to Lemutuz!!! kama game hapa mkuu umejidhalilisha sana, unafuatilia story ya mtu, kuanzia A to Z, kuliko quran wala biblia, wakati unafuatilia ulikuwa peke yako ( tena ulikuwa mpaka unakesha!!)...unataka sasa uanze kumponda kwa kutafuta platform ya haters wengine kama wewe waje tu!!

Imagine unafuatilia hadithi ambayo wala haukuwahi kujua kuwa itakuja, mshukuru ame ku keep busy!

Mbona kaandika vingi mkuu, umeona eneo hilo tu??

wewe ni mtumwa wa kila kitu, kwenye brain umeshaingia tunduni umesoma weeee! halafu unataka tuchangie hisia zako

looser
Umeshakunywa chai???agiza supu apo nakuja kulipa
 
Sasa na wewe unafanya utumbo kama alofanya huyu unae mlaumu.Alitakiwa aje Lemutuz ndio amjibu hivyo na si wewe unless otherwise uwe wewe ni mkewe au Lemutuz mwenyewe.Ciao
 
Watu wengi humu mmemjua wiliam baada ya kurudishwa Tanzania kwa kushindwa kutoa child support ambalo ni kosa kubwa sana kule US.

Huyu mtu pia alishawahi kunywa sumu kutaka kujiuwa ambalo nalo pia ni kosa kubwa sana la jinai kule US. Hana cha kuchukiwa na mtu yeyote New York bali ni poor egoism yake ya kuegemea jina la baba yake!

Mtapoteza muda wenu tu kumjadili humu.
 
mzee baba nimeshasema don't take it personal nimesoma stori yako kweli nmevutiwa na uandishi ndo maana nikaisoma na ni nzuri sana stori yako
umepitia mengi na hayo maoni yangu hayakua yamebase kwenye chuki labda kama io chuki unataka kuitengeneza sasa hivi
swali langu kuu ni kwamba why the hell uchukiwe na jamii nzima ya wabongo New York? ulikua kasoro gani kila mtu akuchukie? huwez kupendwa na kila mtu ilo tunafahamu ila pia huwez pia kuchukiwa na jamii nzima ya wabongo afu useme walikua wanaona wivu maendeleo yako pale Us na hapo hapo husemi kasoro zako

tatizo la watu kama le mutuz ambao wanashambuliwa sana na jamii ni kwamba kila mtu anamwona ni hater badilisha io mindset bwana ukiprint kitabu kikawa na mapungufu kama hayo watu wataona ni kama hadithi za kusadikika unapewa changamoto utengeneze kitu bora sio unawaza kila mtu anakuhate
Kijana we ni mgumu sana kuelewa[emoji23]
 
Le Mutuz umpende umchukie ametuelimisha sana kuhusu maisha ya vijana waliolowea Marekani.

Le Mutuz akili kubwa kweli. Kutoka dola milioni moja hadi mafanikio aliyo nao.
 
eti baharia
huwezi kuwa baharia halafu ukawa bwege la kujipendekeza vile
asingekuwa mtoto wa waziri angetoka?
kuna mengi tu anaficha na mengi anaongopa huyo jamaa
akili yake ya sasa inaakisi akili yake ya zamani
 
NNami nakiri nimemfuatilia LEMUTUZ hatua kwa hatua kwa kiasi Fulani nimemuelewa.

Hasa hilo la WABONGO wengi kumchukia ni wale waliotaka kuishi KISWAHILISWAHILI vijiweni kwa saana na ushogashoga mwingii

Jamaa alikuwa serious na kazi na kuchunga familia sasa wale wasio na kazi za kueleweka wakajenga chuki .
 
Le mutuz liongo sana na tumbo lake.....mzee wa malecela sijui siku hiyo alikua mtungi maana kaleta kituko
 
eti baharia
huwezi kuwa baharia halafu ukawa bwege la kujipendekeza vile
asingekuwa mtoto wa waziri angetoka?
kuna mengi tu anaficha na mengi anaongopa huyo jamaa
akili yake ya sasa inaakisi akili yake ya zamani
Hivi tutabadilika lini? Jaribu kujifunza mazuri yake kupitia mihangaiko aliopitia kuliko kumuattack le mutuz, ukianza kuona mabaya yake na kuyaandika(kudocument) humu means wewe uko sawa sawa ( mkamilifu) 100%.

Tujifunzeni kukubali positives na kujifunza kwa wenzetu,
Fikiria pamoja na kupoteza mda mwingi Marekani, Lemutuz karudi bongo kaanzisha Online TV, sasa online radio, hapo lemutuz anakula pesa za matangazo na promotion kibao, ana usafiri wake binafisi, anakula apendacho na kulala apendako.
Huoni mpaka hapo kaonyesha juhudi za kiume kurecover his economical status?

Lemutuz ana akili kubwa kiasi wabongo wengi kwa ujuaji wenu wa kijinga mtamwona anakula maisha murua tu.
 
1. unatumia ID feki, in other words hatukufahamu kabisa , mwenzio anajulikana na unajua ni nani na came out boldly to write the facts, so wa kuja kupinga ni aliyekuwa mkewe

2. haujaelewa chanzo cha ndoa kuvunjika, (ulitakiwa kuuliza, au soma tena)
3. umefanya vizuri sana kuuliza alikuwa anachukiwa kwa kosa gani -hongera
4. obvious....na uka conclude, umeishajibiwa swali? obvious ume fanya citation ipi? basis ya conclusion zako ni nini? ( refer waliomchukia, na angaia na wewe unachofanya, haoni mnaangaukia kapu moja), wivu, chuki na predetermined judgement! wabongo wengi mko hivyo ni wachawi

5. who is bashite? anaingia vipi kwenye hii story?

The fact that umefuatilia story yake mpaka hatua ya sasa, ni uthibitisho tosha kuwa ubongo wako, energy yako, uwezo wako na muda wako uli u dedicated humbly to Lemutuz!!! kama game hapa mkuu umejidhalilisha sana, unafuatilia story ya mtu, kuanzia A to Z, kuliko quran wala biblia, wakati unafuatilia ulikuwa peke yako ( tena ulikuwa mpaka unakesha!!)...unataka sasa uanze kumponda kwa kutafuta platform ya haters wengine kama wewe waje tu!!

Imagine unafuatilia hadithi ambayo wala haukuwahi kujua kuwa itakuja, mshukuru ame ku keep busy!

Mbona kaandika vingi mkuu, umeona eneo hilo tu??

wewe ni mtumwa wa kila kitu, kwenye brain umeshaingia tunduni umesoma weeee! halafu unataka tuchangie hisia zako

looser
Rudi kasome kiingereza. Ni loser sio looser
 
Hivi tutabadilika lini? Jaribu kujifunza mazuri yake kupitia mihangaiko aliopitia kuliko kumuattack le mutuz, ukianza kuona mabaya yake na kuyaandika(kudocument) humu means wewe uko sawa sawa ( mkamilifu) 100%.

Tujifunzeni kukubali positives na kujifunza kwa wenzetu,
Fikiria pamoja na kupoteza mda mwingi Marekani, Lemutuz karudi bongo kaanzisha Online TV, sasa online radio, hapo lemutuz anakula pesa za matangazo na promotion kibao, ana usafiri wake binafisi, anakula apendacho na kulala apendako.
Huoni mpaka hapo kaonyesha juhudi za kiume kurecover his economical status?

Lemutuz ana akili kubwa kiasi wabongo wengi kwa ujuaji wenu wa kijinga mtamwona anakula maisha murua tu.
Mbona wewe hutaki kujifunza kwanini huyu jamaa vitu vibaya vyote anamsingizia ex wife wake? Mtu intelligent huwa ajisifii mimi nina akili kubwa ooh mimi nina uwezo wa kuona mbali.
 
Nyie vijana wapiga kelele hapa nendeni mkapange foleni pale kwa Lemutuz awafundishe maisha. Huyo jamaa nilikuwa namdharau na kumuona mtu wa kawaida tuu, lakini baada ya story yake hiyo ya kweli(ikiambatana na picha halisi za matukio) nimemkubali sana. Kuhusu kuchukiwa na wabongo pale US subiri kitabu ambacho kitazinduliwa wiki nne zijazo, amesema kwenye story hii vitu vingi hajaviweka mpaka utakaponunua kitabu.
Yaani ninunue kitabu cha maisha ya le mutuz, nitakua abnormal
 
Watu wengi humu mmemjua wiliam baada ya kurudishwa Tanzania kwa kushindwa kutoa child support ambalo ni kosa kubwa sana kule US.

Huyu mtu pia alishawahi kunywa sumu kutaka kujiuwa ambalo nalo pia ni kosa kubwa sana la jinai kule US. Hana cha kuchukiwa na mtu yeyote New York bali ni poor egoism yake ya kuegemea jina la baba yake!

Mtapoteza muda wenu tu kumjadili humu.
kunywa sumu tena
 
Hivi tutabadilika lini? Jaribu kujifunza mazuri yake kupitia mihangaiko aliopitia kuliko kumuattack le mutuz, ukianza kuona mabaya yake na kuyaandika(kudocument) humu means wewe uko sawa sawa ( mkamilifu) 100%.

Tujifunzeni kukubali positives na kujifunza kwa wenzetu,
Fikiria pamoja na kupoteza mda mwingi Marekani, Lemutuz karudi bongo kaanzisha Online TV, sasa online radio, hapo lemutuz anakula pesa za matangazo na promotion kibao, ana usafiri wake binafisi, anakula apendacho na kulala apendako.
Huoni mpaka hapo kaonyesha juhudi za kiume kurecover his economical status?

Lemutuz ana akili kubwa kiasi wabongo wengi kwa ujuaji wenu wa kijinga mtamwona anakula maisha murua tu.
kwa ile akili endelea kumkubali wewe
halafu hata mi nakula nachotaka nalala napotaka,what is so specialabout that
sijapata favor zozote za mtoto wa kigogo
tukubaliane kutokukubaliana...he is your role model,he isn't mine because i have not seen any achievement to be my role model....the retired grandpa aliyeishi NYC for 30 damn years anaishi apartment ya kupanga!!!!!
 
Back
Top Bottom