Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
mzee baba nimeshasema don't take it personal nimesoma stori yako kweli nmevutiwa na uandishi ndo maana nikaisoma na ni nzuri sana stori yako
umepitia mengi na hayo maoni yangu hayakua yamebase kwenye chuki labda kama io chuki unataka kuitengeneza sasa hivi
swali langu kuu ni kwamba why the hell uchukiwe na jamii nzima ya wabongo New York? ulikua kasoro gani kila mtu akuchukie? huwez kupendwa na kila mtu ilo tunafahamu ila pia huwez pia kuchukiwa na jamii nzima ya wabongo afu useme walikua wanaona wivu maendeleo yako pale Us na hapo hapo husemi kasoro zako
tatizo la watu kama le mutuz ambao wanashambuliwa sana na jamii ni kwamba kila mtu anamwona ni hater badilisha io mindset bwana ukiprint kitabu kikawa na mapungufu kama hayo watu wataona ni kama hadithi za kusadikika unapewa changamoto utengeneze kitu bora sio unawaza kila mtu anakuhate
ona sasa, mimi nishakuwa Le mutuz umejiunga mwaka 2018! nimejiunga 2008, najulikana mpaka kwa majina yangu halisi humu!!
ile ni sindano mkuu, huwa inauma na naona unarusha mateke, ebu tulia kabisa
siyo ya mkononi au pajani hii....taratibu; una ruhusa ya kupiga kelele useme 'mamaaa' au 'babaaa'
Dawa haina utamu katu