Observation yangu kwenye stori ya Le Mutuz

Observation yangu kwenye stori ya Le Mutuz

Lekibamiazzz

Kama mwanaume yanini kumuanika mwanamke wako na madem zako uliokwishakua na mahusiano nao that much?

Will that make kibamiaz go away?Never!

Mwanamke kakuzalia watoto,ulivyo so petty umeenda kumuandikia kitabu cha kumdhalilisha of which uliyoyatoa mle mwote sio ukweli 100%,kuna mahali umeongeza au kupunguza kitu kukujengea wewe image kua ni malaika zaidi yake!

Halafu,cant you just move on?Mlishaachana,yanini na mavitabu?Why cant you just shut the F up and move one with life and leave her alone maana still ana maisha ya kuishi yaliyobakia?Unajinasibu ni kitabu cha maisha yako,can you just remove the pages concerning her kuonesha u have decency ya ku-keep private the life of a woman who gave you kids?

Ninachoona bado hujamove on,na huo ndio ukweli....

Kuna shida sana unayo,kuna sababu kubwa sana anayo yakukuacha..achana nae mkuu move on mkuu...

- hahahaha umesema nimeandika uongo 100%, kwamba hakuwa deported? Sasa ngoja nikuambie ukweli ambao sikuuandika nilipomuoa aliondoka Belgium na madeni kibao ambayo nilikuja kulazimishwa kuyalipa tukiwa honemoon, hahahaha nikiamua kuandika ukweli wote mkuu utalia machozi ila karibu sana!

- Kuhusu ku move on wala hata sina sababu ya kujibu ni matendo yangu na yake ndio yanajisema wazi nani haja move on hahahahahaha

le Mutuz
 
The king of all bongo social networks........mjomba wewe ni mwili jumba ila hutaki challenges........hahahaha..... kitu chochote unachosema unataka watu waseme NDIO......nishakupa challenge moja ya hatari insta ukanipiga block [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

- Nimekuambia Instagram ni uwanja wangu wa biashara ukitaka kuandika matusi andika huku please!

le Mutuz
 
Hoja ni mwanaume kujitangazia ufalme wa kipato zaidi ya wanaume wengine ambao infact hajui their incomes in real numbers...ni utoto wa hali ya juu!

- hahahahahaha tatizo unaongea maneno tu hujui ukweli wa majuu ungejua ungenyamza tu hahahahahahha

le Mutuz
 
- Nimekuambia Instagram ni uwanja wangu wa biashara ukitaka kuandika matusi andika huku please!

le Mutuz
Si kukutukana mzee uliandika facts za uongo nikakuchallenge......you didn't accept mzee ukaona easy way ni kuni block........hahaha le akili kubwaz gani unaogopa challenges[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
1. Well, kulipwa majuu haina ubishi ni matendo ndio yanazungumza sio maneno maneno, ninarudia tena waliokua wananichukia ni wanyonge wa akili cause nilikua na marafiki pia na hasa Peter. Nilipofika walinipeleka kwenye kazi ya kule matahira na kulea wazee nikagoma na kuondoka, hili peke yake lilikua tatizo kubwa sana.

2. Kazi ya kuendesha malori ya Harzadous Material haikuwa sawa na kazi yoyote ya kawaida kwa wazamiaji, yes ukiamua kuiandika kizandiki na kimbeya mbeya kama unavyofanya ni kweli inaonekana ni ujinga fulani ila niliokua ninaishi nao kule wanajua vizuri na wala sina sababu ya kubishana na wewe on that.

3. Kama ninataka kukuelewa ni kwamba ndoa zote Duniani hufwa kwa sababu wanaume wamewashindwa wanawake wao kitandani? hahahahaha

4. Nimesema mimi ni binadam mpungufu ila sikuwahi ku cheat in 15 years of my ndoa, sikuwahi kumpiga, wala kumtukana hata kwenye Counselling walimuambia wamezoea serious cases kama za Kupigwa mwanamke, kucheat, na MWanaume kua Gay none of these were his issues wakamuambia huna tatizo, tatizo lake namba moja lilikua natumia muda mwingi kwenye Internet hahahahaha that was a big joke

5. Well, my ex ameniandika sana humu na kwa muda mrefu sana, nashangaa hujamsoma pole sana nenda kwenye kazi zake uone, hata yeye anajikanyaga kanyaga kama wewe ndio aakaanza kumsahbulia marehemu mama yangu, ni kwa sababu anajua hana sababu za msingi against me ila ulikua ujinga wake

- Now kama kweli I was that bad ananitafutia nini mpaka leo?

le Mutuz

1.Kulipwa majuu ni wewe ndio ulikua unaona unalipwa sana. Hiyo ni kwako wewe, hai-apply to the rest of the population. Kwa muktadha wako binafsi upo sahihi, ila measuring stick ndio ulikua huna. Ulikua unahisihisi tu. Peter ni one person, what about the rest of the NY pop?

2. Mkuu hiyo kazi ya kuendesha malori unaiona wewe kubwa na inalipa sana maana ni wewe. Na pia tulikua hatujui ulikua grade gani na salary slips huku-attach kutuonesha kikweli hicho kipato. Until now,hizo ni purely claims zako binafsi hakuna mwanachi aliezipruvu bado. Ni claims tu. Ni kama mimi niseme nina viwanda 100 which is a claim just like yours.

3. Sija-generalize. Nimeangalia yako kutokana na maelezo ya vithstori vyako huku IG. Sababu ni chungu nzima na infact wote wawili hua ni participants, hakuna on earth eti ndoa inavunjwa na mmoja tu..Ila wewe yako eti wewe hukuhusika kabisa!hahahaaa

4. Mkuu, katika hizo sababu hapo kuna mojawapo iliyovunja hiyo aidha unaujua ila kwa makusudi hutaki kuisema,upo kwenye denial tu.Au aidha kweli huijui.Nikiwa mganga wa jadi naweza bashiri ni aidha sababu ni wewe kua gay,inaweka kua kweli au uongo,maana hizi tuhuma zipo all over.Inaweza kua kweli au isiwe kweli,na hapa nime-declare kabisa 'nimebashiri"!

5. Amekuandika? Sijawahi msikia,na kama hadi mimi mpenda internet sijawahi msikia ni kuwa ilikua minimal, wewe sababu una platform na umaarufu unaonekana savage towards her. Muache tu,yalishaisha,kama mwanaume take a high road...afterall ni mwanamke kakuzalia ujue

Kukutafuta ni lazima mzee,maana mna watoto,mna biological connection which can never be erased mzee.Acha utoto kabisa about this.Sidhani eti kama anakutafuta eti "anakupenda" maana hayo yalishapita mka-move on.Nachoona hapa ni wewe ku-over interpret intentions zake za kukutafuta,wewe unadhani ni "love" lakini mimi naone clearly sio hivyo.Mna issue nyingi za mali na watoto,anavyokutafuta interpretation yako inakua ya kitoto mno...
 
- hahahaha umesema nimeandika uongo 100%, kwamba hakuwa deported? Sasa ngoja nikuambie ukweli ambao sikuuandika nilipomuoa aliondoka Belgium na madeni kibao ambayo nilikuja kulazimishwa kuyalipa tukiwa honemoon, hahahaha nikiamua kuandika ukweli wote mkuu utalia machozi ila karibu sana!

- Kuhusu ku move on wala hata sina sababu ya kujibu ni matendo yangu na yake ndio yanajisema wazi nani haja move on hahahahahaha

le Mutuz

Hujanisoma vizuri..nimesoma uliyoandika sio kweli kwa 100%..yaani ukweli unaweza kua namba yoyote kuanzia 0%-99.99%.tena nikaendelea mbele zaidi kua unawezakua ulipunguza au kuongeza kitu ili wewe uonekane in good light zaidi yake yeye!

naomba unielewe mkuu.
 
- hahahahahaha tatizo unaongea maneno tu hujui ukweli wa majuu ungejua ungenyamza tu hahahahahahha

le Mutuz

Nashangaa wewe ku-declare eti ulikua unawazidi kipato!how on earth do you know?

Inaonesha una fundamental problem than this!

Na hii kuandikaandika vitabu halafu karibu 80% ya content ni kumuhusu huyo dada,then inaonesha kabisa kuna unfinished business with her na unataka ku-settle scores na yeye....Hiki kitabu ni wazi target ya kumuumiza huyo dada,of which makes me really question your integrity.

Naona upo confused sana.Kitabu unadai ni strictly maisha yako then 90% ya content ni kumuhusu ex wako.Jeeeesusssssssss
 
Majuu hamna vijiwe utakufa njaa
Jifikirishe kwa mapana, uonekane unafikra ,ukikariri akili itadumaa, hili ni jukwaa huru linabeba wanaowafahamu na wasiowafahamu
Kila sehemu kuna vijiwe vya aina yake AMKA
 
Subiri kitabu..Kuna parts aliziacha
 
1. Well, kulipwa majuu haina ubishi ni matendo ndio yanazungumza sio maneno maneno, ninarudia tena waliokua wananichukia ni wanyonge wa akili cause nilikua na marafiki pia na hasa Peter. Nilipofika walinipeleka kwenye kazi ya kule matahira na kulea wazee nikagoma na kuondoka, hili peke yake lilikua tatizo kubwa sana.

2. Kazi ya kuendesha malori ya Harzadous Material haikuwa sawa na kazi yoyote ya kawaida kwa wazamiaji, yes ukiamua kuiandika kizandiki na kimbeya mbeya kama unavyofanya ni kweli inaonekana ni ujinga fulani ila niliokua ninaishi nao kule wanajua vizuri na wala sina sababu ya kubishana na wewe on that.

3. Kama ninataka kukuelewa ni kwamba ndoa zote Duniani hufwa kwa sababu wanaume wamewashindwa wanawake wao kitandani? hahahahaha

4. Nimesema mimi ni binadam mpungufu ila sikuwahi ku cheat in 15 years of my ndoa, sikuwahi kumpiga, wala kumtukana hata kwenye Counselling walimuambia wamezoea serious cases kama za Kupigwa mwanamke, kucheat, na MWanaume kua Gay none of these were his issues wakamuambia huna tatizo, tatizo lake namba moja lilikua natumia muda mwingi kwenye Internet hahahahaha that was a big joke

5. Well, my ex ameniandika sana humu na kwa muda mrefu sana, nashangaa hujamsoma pole sana nenda kwenye kazi zake uone, hata yeye anajikanyaga kanyaga kama wewe ndio aakaanza kumsahbulia marehemu mama yangu, ni kwa sababu anajua hana sababu za msingi against me ila ulikua ujinga wake

- Now kama kweli I was that bad ananitafutia nini mpaka leo?

le Mutuz
Ila mzee baba kuhusu wanawake nakubaliana na wewe wanawake ni wazushi sana. Yani unaweza ukajitoa kwake lakini akakuchafua sana
 
Jifikirishe kwa mapana, uonekane unafikra ,ukikariri akili itadumaa, hili ni jukwaa huru linabeba wanaowafahamu na wasiowafahamu
Kila sehemu kuna vijiwe vya aina yake AMKA
Hebu nieleweshe hiko kijiwe ukichosema au cha whatsapp group we sio pekee yako unayeishi ulaya
 
Hebu nieleweshe hiko kijiwe ukichosema au cha whatsapp group we sio pekee yako unayeishi ulaya
Hata ofisini kama mnaacha kufanya kazi na kupiga soka ujue hicho ni kijiwe na muendelezo wake. Majumbani,mtaani,hospitalini nk
 
CC Al-Watan Kiranga Nyie mnaishi New York, Le Mutuz kasema mlikuwa wanafki sana kwake.

Sasa inakuaje mlimnyanyapaa ndugu yenu ughaibuni?
Mimi habari za wabongo sizijui.

Al-Watan is a singularity, usitake kum group na "wabongo wa New York".

Unaweza kum group hivyo, wakati mwenzako yuko New Orleans anakula Mardi Gras na bi Zuhra.

You dig?
 
1. unatumia ID feki, in other words hatukufahamu kabisa , mwenzio anajulikana na unajua ni nani na came out boldly to write the facts, so wa kuja kupinga ni aliyekuwa mkewe

2. haujaelewa chanzo cha ndoa kuvunjika, (ulitakiwa kuuliza, au soma tena)
3. umefanya vizuri sana kuuliza alikuwa anachukiwa kwa kosa gani -hongera
4. obvious....na uka conclude, umeishajibiwa swali? obvious ume fanya citation ipi? basis ya conclusion zako ni nini? ( refer waliomchukia, na angaia na wewe unachofanya, haoni mnaangaukia kapu moja), wivu, chuki na predetermined judgement! wabongo wengi mko hivyo ni wachawi

5. who is bashite? anaingia vipi kwenye hii story?

The fact that umefuatilia story yake mpaka hatua ya sasa, ni uthibitisho tosha kuwa ubongo wako, energy yako, uwezo wako na muda wako uli u dedicated humbly to Lemutuz!!! kama game hapa mkuu umejidhalilisha sana, unafuatilia story ya mtu, kuanzia A to Z, kuliko quran wala biblia, wakati unafuatilia ulikuwa peke yako ( tena ulikuwa mpaka unakesha!!)...unataka sasa uanze kumponda kwa kutafuta platform ya haters wengine kama wewe waje tu!!

Imagine unafuatilia hadithi ambayo wala haukuwahi kujua kuwa itakuja, mshukuru ame ku keep busy!

Mbona kaandika vingi mkuu, umeona eneo hilo tu??

wewe ni mtumwa wa kila kitu, kwenye brain umeshaingia tunduni umesoma weeee! halafu unataka tuchangie hisia zako

looser
Bro Leo umenikosha sana. Tatizo wanajamii baadhi yao wamechokaje kuwaza. Muda wote wanawaza ya wenzao tuu.
 
The whole story is one sided,muhimu ni kuipokea kaka ilivyo au kutafuta facts na ku criticize alichoandika/kukisema.
 
hauwezi ukasoma story ya mwanaume mwenzako, kuanzia mwanzo mpaka mwisho kisha ukaja kuanzishia thread hapa!! ebu fikiria akili hiyo, ya kike!! vijana mna vi element vingi sana vya ukikekike, tutawafundisha mtu at least mkivaa suruali muonekane mnafanana na wazee wenu
Comments lazima ziwepo na usipende kupangia watu nini cha ku comment, angekuwa hataki comments basi angefungia ndani historia yake. Usijikute mjuaji mkuu acha watu watoe maoni yao hata kama huyapendi baadhi ya hayo maoni.
 
1. unatumia ID feki, in other words hatukufahamu kabisa , mwenzio anajulikana na unajua ni nani na came out boldly to write the facts, so wa kuja kupinga ni aliyekuwa mkewe

2. haujaelewa chanzo cha ndoa kuvunjika, (ulitakiwa kuuliza, au soma tena)
3. umefanya vizuri sana kuuliza alikuwa anachukiwa kwa kosa gani -hongera
4. obvious....na uka conclude, umeishajibiwa swali? obvious ume fanya citation ipi? basis ya conclusion zako ni nini? ( refer waliomchukia, na angaia na wewe unachofanya, haoni mnaangaukia kapu moja), wivu, chuki na predetermined judgement! wabongo wengi mko hivyo ni wachawi

5. who is bashite? anaingia vipi kwenye hii story?

The fact that umefuatilia story yake mpaka hatua ya sasa, ni uthibitisho tosha kuwa ubongo wako, energy yako, uwezo wako na muda wako uli u dedicated humbly to Lemutuz!!! kama game hapa mkuu umejidhalilisha sana, unafuatilia story ya mtu, kuanzia A to Z, kuliko quran wala biblia, wakati unafuatilia ulikuwa peke yako ( tena ulikuwa mpaka unakesha!!)...unataka sasa uanze kumponda kwa kutafuta platform ya haters wengine kama wewe waje tu!!

Imagine unafuatilia hadithi ambayo wala haukuwahi kujua kuwa itakuja, mshukuru ame ku keep busy!

Mbona kaandika vingi mkuu, umeona eneo hilo tu??

wewe ni mtumwa wa kila kitu, kwenye brain umeshaingia tunduni umesoma weeee! halafu unataka tuchangie hisia zako

looser
Nakazia na mm
 
Back
Top Bottom