Observation yangu kwenye stori ya Le Mutuz

baada ya lemutuz kutoa facts zoote zile bado umekuja kuleta swali pumba kiasi hiki?
 
Watu wengi humu mmemjua wiliam baada ya kurudishwa Tanzania kwa kushindwa kutoa child support ambalo ni kosa kubwa sana kule US.

Huyu mtu pia alishawahi kunywa sumu kutaka kujiuwa ambalo nalo pia ni kosa kubwa sana la jinai kule US. Hana cha kuchukiwa na mtu yeyote New York bali ni poor egoism yake ya kuegemea jina la baba yake!

Mtapoteza muda wenu tu kumjadili humu.
Huo ni uongo tu, jina la babaake kaegemea wapi? Miaka yote kaishi huko alikua anaegeme jina la babaake? Hata akifanya hvyo yupo sahihi maana Mzee ndo alimleta duniani so he was responsible kuhakikisha mtoto wake yupo mahala salama na ndo wazaz wote wazur hufanya hivyo. Km baba ako alikuwa kapuku ukapambana mwenyewe haina shida pia ni mipango tu ya Mungu mkuu.
 
kwa ile akili endelea kumkubali wewe
halafu hata mi nakula nachotaka nalala napotaka,what is so specialabout that
sijapata favor zozote za mtoto wa kigogo
tukubaliane kutokukubaliana...he is your role model,he isn't mine because i have not seen any achievement to be my role model....the retired grandpa aliyeishi NYC for 30 damn years anaishi apartment ya kupanga!!!!!
Kwani lazma rolemodel wako wewe awe rolemodel kwa mwingine? we umesoma shule wapi au umekariri? au unafikiri mtu akiwa rolemodel ndo lazima na wewe maisha yako yawe hivyo? Mtu anaweza kuwa rolemodel wako kwenye mambo flani tu lkn maisha yake yakawa tofauti na yakwako kutegemea na mazingira au hulka. Binadamu hawafanani, ila kuna hobbies mnaweza kushare, mfano nikisema nataka kuwa mwana hipop km Langa au Ngwear, unajua mwisho wao ulikuwaji? Naweza kuwa intrested na kipaji tu lkn maisha yangu ni yangu sio yao.
Nilipokuwa mdogo nlikuwa nawaambia watu nataka kuwa km Michael Jackson, namkubali hadi kesho RIP lakini sijapenda tabia na mwenendo wa maisha yake mbali na mziki wake. So wapo Marole model wazuri kwenye mitindo,miziki, siasa, dini nk lkn walikuwa malaya, walevi wengine washirikina na wengine hatma zao zilikuwa mbaya.
 
29067084_905365956312470_281055178278183809_n.jpg

- Kazi inaendelea at my new Studio tulianza na TV Online na sasa ni Radio Online pia, ni kazi juu ya kazi

le Mutuz
 
Huo ni uongo tu, jina la babaake kaegemea wapi? Miaka yote kaishi huko alikua anaegeme jina la babaake? Hata akifanya hvyo yupo sahihi maana Mzee ndo alimleta duniani so he was responsible kuhakikisha mtoto wake yupo mahala salama na ndo wazaz wote wazur hufanya hivyo. Km baba ako alikuwa kapuku ukapambana mwenyewe haina shida pia ni mipango tu ya Mungu mkuu.
29103457_905372016311864_7724582982914154259_n.jpg

- Mkuu usibishane nao ni kweli babayangu ndiye amenijengea hii studio hahahahaha, achana nao mkuu

Mpaka leo atuoni hiyo online tv sijui radio. Isitoshe umri umekutupa mkono mwangalie agemate wako Mengi afu compare studio yako na yake
 
- Kwanza nilikua agemate na Pinda, nikawa na JK, sasa Mzee Mengi hahahahaha, My Online Radio na TV zinajulikana na You Tube ambao ndio muhimu maana wananilipa sio wewe hata usipoijua haina tatizo, hahahahahahahaha!

Hi! Lemutz, mambo vipi? Vipi studio yako itatupa live yale maandamano ya wananchi yaliyo ratibiwa na mtoto wa kambo was dada yako Dr?
Itakuwa mswanu sana au vipi?
 
- Tatizo ni nipo busy natafuta pesa ndugu yangu, poleni sana hayo mambo yenu huku Bongo naona kama wananchi hawana habari labda huko nje, eti mnaendeleaje na hayo mambo yenu?

Ndio utajua tu na hako kastudio uchwara kako tunakavunjilia mbali
 
Unaita wenzako akili ndogo, What do you expect kwa jinsi sociar=ety itakavyo kuona.. Unaonekana wewe ni mtu mwenye dharau na mwenye akili ndogo,,Over
 
Back
Top Bottom