Observation yangu kwenye stori ya Le Mutuz

Watu wengine mkiwa IG wapole kweli ila mkishavagaa fake IDs za JF mnatifuka ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hujajibu hoja unakimbilia kuweka picha ya kompyuta mpakato.. Le kitunye nye nye nye

- Well, hamna kitu hapa see you siku ya uzinduzi wa kitabu soon na unajua kinasubiriwa na Dunia nzima hahahaha its gonna be a splash U know!

le Miutuz
 
- Well, hamna kitu hapa see you siku ya uzinduzi wa kitabu soon na unajua kinasubiriwa na Dunia nzima hahahaha its gonna be a splash U know!

le Miutuz
Nani anunue huo uchafu wako unaoita kitabu labda kama nitarogwa na niwe nimekufa hata bure tu siwezi kuchukua na kusoma
 

Unajua Huyu Mzee Fala Sana Arifu Yeye kama aliweza kulilia eti watu hawajampost birthday ni maadui zake what do you expect unakuta watu wa New York nao walikataa kumpost akaweka nao bifu kuwa wote ni maadui zangu imagine huyujamaa ana miaka mob but hajielewi
 

- Well, sikuwepo kwa muda mrefu nilikua safarini Cape Town/South Africa niliporudi nikaunganisha Mwanza nimerudi jana ndio maana nilikua sijajibu huu upuuuzi, ni kwamba

1. Instagram yangu ni business huwa nina charge Tsh. 50K to 150K per post, ikafika mahali ushikaji ukawa unaniletea hasara ya almost Tsh. 2M kwa mwezi kwa sababu ya kuwapost washikaji na hasa Birthday zao, so nikaaanza kutafuta solution ya kuachana na hiyo hasara, ikaja my BBD nikagundua wale ninaopata hasara kuwa post hawajianipost ilikua my best way out nikatangaza kuwa sitampost mtu tena ambaye hajanipost, wakacheka sana wakidhani natania bila kujua kwamba nilikua najiepusha na hasara ya my business,

2. Now kuna Ma-Star wengi walionipigia kwa kicheko lakini sasa wamenielewa maana sipots anything bure tena, siku hizi wanalipia that was my point, ila kwa mjinga kama wewe ukaona ni ishu, hahahahaha sema lingine now hahahaha

le Mutuz
 
Reactions: T11
Gettin' Money (Get Money Remix)
Junior M.A.F.I.A./ Notorious B.I.G

...I'm the rapper with clout everybody yap about
Check it out: guns, I bust 'em
Problems with my wife, don't discuss 'em
Coupes and Lear jets, I lust them
Fingerprints, I dust them, recent address
Stuck you for your stash in your pissy mattress

Your mom's an actress, didn't wanna show me the safe
It's okay, she was old anyway!
I display, Hot 97 rhyme-ready
Cocked MAC-11, line steady
Like Tevin Campbell, I'm Ready
To do what I do, continuously (to get money)
 

Wewe Acha Fix zako nani kwani Hakufahamu Hakuna hasara wala nini we mtu mzima ujue acha kulilia lilia birthday elezea sasa chanzo cha watu wote wa NEW YORK kukuchukia kama sio kuwa ulilia hawajakupost birthday nini GROW up ur about to turn 50 maybe endana na umri wako
 
Ukikua utaacha
 

- Well, sioni hoja ya msingi hapa zaidi ya hasira na chuki za kitoto, New York kuna waliokua wananichukia na waliokua wananipenda na hapa Bongo the same, hawakunipunguzia wala kuniongezea anything my life is on kama kawaida, una tatizo ambalo siwezi kukusaidia kama unahitaji ajira karibu studio uombe ajira!

- Mengine ni waste of time sina muda!

le Mutuz
 
Ikaishia hapa
 
Hizo tabia za wabongo kuchukiana abroad ziko sana,hatupendani,majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…