Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu hoja unakimbilia kuweka picha ya kompyuta mpakato.. Le kitunye nye nye nye
Nani anunue huo uchafu wako unaoita kitabu labda kama nitarogwa na niwe nimekufa hata bure tu siwezi kuchukua na kusoma- Well, hamna kitu hapa see you siku ya uzinduzi wa kitabu soon na unajua kinasubiriwa na Dunia nzima hahahaha its gonna be a splash U know!
le Miutuz
Jamaa ameandika stori yake ya ndoa kuhusu kuachana na mke wake amemkandia kwamba mke wake ndo chanzo cha kuvunjika ndoa na mambo mengi tu
Sema sasa sijaelewa kabisa chanzo cha hiyo ndoa kuvunjika maana anasema wabongo waishio New York ndo walichangia zaidi yeye kuachana na mke wake kwasababu walikuwa wanamchukia na hajaeleza chanzo cha wao kumchukia mana stori yake hajasema kama alikuwa na tatizo na mbongo yoyote
Sasa swali langu huyu jamaa alikua anachukiwa kwa kosa gani?
Mimi ninavyojua huwezi kuchukiwa na watu wote bila sababu ya msingi it is obvious Le Mutuz alikua mkorofi ndio maana jamii yote ya wabongo New York ikamchukia.
Ps: Hio ni observation yangu tu kuhusu stori yake don't take it personal
Unajua Huyu Mzee Fala Sana Arifu Yeye kama aliweza kulilia eti watu hawajampost birthday ni maadui zake what do you expect unakuta watu wa New York nao walikataa kumpost akaweka nao bifu kuwa wote ni maadui zangu imagine huyujamaa ana miaka mob but hajielewi
Nani anunue huo uchafu wako unaoita kitabu labda kama nitarogwa na niwe nimekufa hata bure tu siwezi kuchukua na kusoma
- Well, sikuwepo kwa muda mrefu nilikua safarini Cape Town/South Africa niliporudi nikaunganisha Mwanza nimerudi jana ndio maana nilikua sijajibu huu upuuuzi, ni kwamba
1. Instagram yangu ni business huwa nina charge Tsh. 50K to 150K per post, ikafika mahali ushikaji ukawa unaniletea hasara ya almost Tsh. 2M kwa mwezi kwa sababu ya kuwapost washikaji na hasa Birthday zao, so nikaaanza kutafuta solution ya kuachana na hiyo hasara, ikaja my BBD nikagundua wale ninaopata hasara kuwa post hawajianipost ilikua my best way out nikatangaza kuwa sitampost mtu tena ambaye hajanipost, wakacheka sana wakidhani natania bila kujua kwamba nilikua najiepusha na hasara ya my business,
2. Now kuna Ma-Star wengi walionipigia kwa kicheko lakini sasa wamenielewa maana sipots anything bure tena, siku hizi wanalipia that was my point, ila kwa mjinga kama wewe ukaona ni ishu, hahahahaha sema lingine now hahahaha
le Mutuz
Ukikua utaacha- Well, sikuwepo kwa muda mrefu nilikua safarini Cape Town/South Africa niliporudi nikaunganisha Mwanza nimerudi jana ndio maana nilikua sijajibu huu upuuuzi, ni kwamba
1. Instagram yangu ni business huwa nina charge Tsh. 50K to 150K per post, ikafika mahali ushikaji ukawa unaniletea hasara ya almost Tsh. 2M kwa mwezi kwa sababu ya kuwapost washikaji na hasa Birthday zao, so nikaaanza kutafuta solution ya kuachana na hiyo hasara, ikaja my BBD nikagundua wale ninaopata hasara kuwa post hawajianipost ilikua my best way out nikatangaza kuwa sitampost mtu tena ambaye hajanipost, wakacheka sana wakidhani natania bila kujua kwamba nilikua najiepusha na hasara ya my business,
2. Now kuna Ma-Star wengi walionipigia kwa kicheko lakini sasa wamenielewa maana sipots anything bure tena, siku hizi wanalipia that was my point, ila kwa mjinga kama wewe ukaona ni ishu, hahahahaha sema lingine now hahahaha
le Mutuz
Wewe Acha Fix zako nani kwani Hakufahamu Hakuna hasara wala nini we mtu mzima ujue acha kulilia lilia birthday elezea sasa chanzo cha watu wote wa NEW YORK kukuchukia kama sio kuwa ulilia hawajakupost birthday nini GROW up ur about to turn 50 maybe endana na umri wako
Ikaishia hapa- Well, sioni hoja ya msingi hapa zaidi ya hasira na chuki za kitoto, New York kuna waliokua wananichukia na waliokua wananipenda na hapa Bongo the same, hawakunipunguzia wala kuniongezea anything my life is on kama kawaida, una tatizo ambalo siwezi kukusaidia kama unahitaji ajira karibu studio uombe ajira!
- Mengine ni waste of time sina muda!
le Mutuz
Hizo tabia za wabongo kuchukiana abroad ziko sana,hatupendani,majunguNyie vijana wapiga kelele hapa nendeni mkapange foleni pale kwa Lemutuz awafundishe maisha. Huyo jamaa nilikuwa namdharau na kumuona mtu wa kawaida tuu, lakini baada ya story yake hiyo ya kweli(ikiambatana na picha halisi za matukio) nimemkubali sana. Kuhusu kuchukiwa na wabongo pale US subiri kitabu ambacho kitazinduliwa wiki nne zijazo, amesema kwenye story hii vitu vingi hajaviweka mpaka utakaponunua kitabu.