Black Butterfly
Senior Member
- Aug 31, 2022
- 130
- 368
Obsessive Compulsive Disorder (OCD) ni Ugonjwa unaomfanya Mtu kuwa na Hofu au Wasiwasi kila mara pamoja na kupatwa na Huzuni kwa muda mrefu. Mtu mwenye tatizo hili huwa na tabia za kurudiarudia vitu.
Dalili za Mtu mwenye OCD ni kuwa na mawazo ya kuogopa, kuhofia au kuhisi una ugonjwa fulani kiasi cha hofu na wasiwasi mwingi kutawala akili yake, kupata mashaka juu ya matendo yake, kujihami au kupima Afya na hata akiambiwa yuko sawa, bado anaomba dawa ya ugonjwa unaoufikiria.
Matibabu yanaweza kusaidia kudhibiti dalili za mwanzo, ingawa kwa Wagonjwa wengine wanaweza kuhitaji matibabu ya muda mrefu kwa kutegemea na kiwango cha Ugonjwa. Mtu mwenye tatizo la OCD asipopata msaada mapema anaweza kuathirika kiutendaji kazi.