RORYA79 Senior Member Joined Apr 3, 2014 Posts 130 Reaction score 61 Sep 26, 2018 #1 Huu usemi nimeamini baada ya kutoka kwa ajali za Mv Bukoba na Mv Nyerere ukiwa na maana ya meli/mtumbwi uzama/ uharibika pindi unapokaribia kufika kwa kweli wahenga waliona vingi.
Huu usemi nimeamini baada ya kutoka kwa ajali za Mv Bukoba na Mv Nyerere ukiwa na maana ya meli/mtumbwi uzama/ uharibika pindi unapokaribia kufika kwa kweli wahenga waliona vingi.
Samboko JF-Expert Member Joined Oct 30, 2011 Posts 5,420 Reaction score 7,788 Sep 26, 2018 #2 Pana ukweli hapo...
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 15,989 Reaction score 22,078 Sep 26, 2018 #3 "Yie tho ko gik gowo"
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,774 Reaction score 4,327 Sep 26, 2018 #4 Unaona ukiongea kulugha unaeleweka zaidi kuliko kiswahili? Hiyo lugha yako inaeleweka na hadhira wangapi was jukwaa hili?
Unaona ukiongea kulugha unaeleweka zaidi kuliko kiswahili? Hiyo lugha yako inaeleweka na hadhira wangapi was jukwaa hili?
naumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 4,717 Reaction score 8,083 Sep 26, 2018 #5 Obwaato mbwaga?ha ha hii sentensi niliposikia mara ya kwanza nilijua tusi