"Obwaato m'bufaa ommagoba"

"Obwaato m'bufaa ommagoba"

RORYA79

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
130
Reaction score
61
Huu usemi nimeamini baada ya kutoka kwa ajali za Mv Bukoba na Mv Nyerere ukiwa na maana ya meli/mtumbwi uzama/ uharibika pindi unapokaribia kufika kwa kweli wahenga waliona vingi.
 
Unaona ukiongea kulugha unaeleweka zaidi kuliko kiswahili?

Hiyo lugha yako inaeleweka na hadhira wangapi was jukwaa hili?
 
Obwaato mbwaga?ha ha hii sentensi niliposikia mara ya kwanza nilijua tusi
 
Back
Top Bottom