OC CID asema Godbless Lema hastahili kuota ndoto

1.Hatutakiwi kusema Vyuma vimekaza.
2. Hatutakiwi kuota ndoto before 60 yrs.

Mpk huu utawala ukome tutakua tushapangiwa mpk bao za kupiga kwa wake zetu.
Itakuja mpaka amri ni marufuku kuja%&mba kama huna umri zaidi ya miaka 60 unatakiwa kujisaidia moja kwa moja tuu. Hatutaki kelele!
 
Kigezo kikuu cha kujiunga na polisi kwa miaka mingi sana kimetajwa kuwa ni UREFU pekee . Hata kama mrefu huyo kichwani ni tikiti maji ! Sina hakika kama siku hizi kimebadilishwa

Labda kimebadilika kwani wafupi pia ninawaona. Lakini yawezekana anayewapima urefu kabla ya kujiunga hasomi vizuri ile scale ya urefu.

 
Ha ha ha!!! Du mwisho tutaambiwa hatustahili kulala ili tusiote ndoto!!!!
 
Huyu kamanda hajasoma kitabu cha MWANZO ambapo Yosefu aliota ndoto kibao akiwa kinda na kuzimwaga hadharani.

Sijui umri wa miaka 60 ni aliisoma wapi na kuzimwaga njozi hadharani ni kosa kwenye sheria ipi au anajitungia sheria zake mwenyewe?
 
Tumeamua kwenda huku waliko Waganda, Wanyarwanda, Wakongo Man na Wenzetu wa Burundi. Tutafika tu. Bado kitambo kidogo takribani miaka 24 (10 +14) tu kufika huko. Ibara za 40 (2) na 42 (3) zimepitwa na wakati sasa.
 
Kumbe ndio maana sioti eeh Mungu nipe miaka mingi nianze kuota.
 
Zecomedy mwendelezo,
Fumbua jicho lako tatu
Utaona kibanzi
Chenye sura andazi
Kumbe gada la andazi
Bora nijambe ushuzi
Labda utasikika kwa kiongozi
Mana machozi yametoka sana
Bado napigwa makonzi
Ukali wa kitungu co kama wa tangawizi japo utiwa sukari kuonekana tamu sana

Time will tell
 
Hakimu hakimu hakucheka kweli???[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Ila sishangai saana kama mkuu wa kaya mwenyewe ni cosby sasa watoto wakirithi mambo ya Mr.Bean unatarajia nini hasa
 
Daaaah.. Kuna siku tutapangiwa hadi mabao ya kupiga kitandani!

[HASHTAG]#VyumaVimelegea[/HASHTAG]
 
19/10/2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…