OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

Huyu jamaa ni kipenzi kikubwa cha watu wenye maamuzi katika vyombo vya usalama.
Inasemekana imekuwa kawaida kwa Masauni na Mafwele kuongea kwa simu angalau mara moja kwa siku, na kuonana angalau mara moja kwa wiki.
Pia jina Lake limekuwa likipita mara kwa mara katika meza ya mama.

Inasubiriwa huu upepo mbaya upite, vifanyike vya kufanyika jamaa asogee ngazi kadhaa juu.
 
Haya 🐼
 
Serikali kumbe ni dhalimu muda wote,
Mama pls pls ponya Taifa
 
Msaga sumu
 
JF ni dude kubwa sana
 
Hapo kuna mawili! Ukute yeye Ndio kiboko ya mitandao ya majambazi ya Arusha ; Sasa wanatengeneza fitna atolewe jeshi lipoteze dira na majambazi kujipanga na kuanza kusumbua!! Au hizo tuhuma ni za kweli!!
Imedhihirika ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…