Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Gwakisa yupo wapi sasa?!Ila arusha ina bahati mbaya na na hawa ma rco wauaji, mafwele,akaja gwakisa, sasa yupo mahita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwakisa yupo wapi sasa?!Ila arusha ina bahati mbaya na na hawa ma rco wauaji, mafwele,akaja gwakisa, sasa yupo mahita.
Hatimaye Mafwele mwana JF mwenzetu alijitokeza hapa kukanusha tuhuma zinazowahusu kipindi kile.Suala maeendeleo nila mtu na MTU, pesa ile ile tatzo matumizi.
Kumbe kunawatu wanafurahia kuwaona watu wakiwa maskin.
Obama hatimae yametimiamleta mada ninazidi kuwa na wasiwasi na wewe maana ukileta mada zinakuwa ni za majungu na uzandiki
mfano: last year ulileta thread kuhusu wale wadada mapacha watumishi wa tra, kumbe ni uzandiki tu huna hoja umejaa majungu
Kumbe ukoo wao wote wana roho mbayaNaam ndo yeye. Ananduguye Zabahu mafwele tulikuwa wote Tabora School, roho mbaya
Inawezekana kuwadhibiti majambazi, sasa wanataka wamsagie kunguniArusha tunalala sasa wasikukatishe tamaa umedhibiti ujambazi na uporaji mchana kweupe sasa mji n shwari asiseme mtu kitu . Hongera Mafwele tunakutegemea kuwa rco Arusha
Usikute ndo yeye.....Yaani huyu tangu ajiunge JF alicomment hapa tu?
😂😂😂😂😂Kama mnakumbuka mwaka juzi Mafwele
alipigwa risasi ya bega la kulia na majambazi
na tetesi zinasema kuwa aliwazunguka katika
mgao wa fedha walizopora katika hoteli ya
Kibo Palace ambayo ni mali ya tajiri Laswai.
Kumbe ilibaki kidogo majambazi waupige mwingi.
Wanaume tuna mambo mengi,mengine yanajulikana na mengine ni ya sirini!!Ali kibao alikua jambazi?