Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hukujua mkuu,poverty is by design,there are enough resources for everybody,mtu asikudanganye.Suala maeendeleo nila mtu na MTU, pesa ile ile tatzo matumizi.
Kumbe kunawatu wanafurahia kuwaona watu wakiwa maskin.
Du. Kweli Tanzania ni nchi ya ajabu. Huyu polisi kila anakopita anasifika kwa rushwa, mauaji na ukatili. Anga nguvu kiasi gani? Hii ni thread ya yangu 2015 na sasa ni 2024 na bado anasikika kwa ubaya. Mwanza tena tunasikia kuwa aliua watu. Sasa yupo Dar bado mauaji yanaendelea.HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA
Kwa mtu ambaye ni mkazi wa jiji la Arusha na viunga vyake nadhani atakuwa anamjua vizuri mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha,OC-CID Faustine Mafwele .
Kiongozi huyu wa jeshi la polisi amekuwa akilalamikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kukandamiza haki za raia kwa mfano kuwatia ndani baadhi ya watu ambao ana ugomvi nao bila sababu za msingi.
Mafwele amekuwa akilalamikiwa kwamba anazuia watuhumiwa wasipewe dhamana kwa jeuri yake hata kama dhamana ni haki ya mshtakiwa.
Analalamikiwa kwa tuhuma za rushwa ambazo amekuwa akiomba kwa baadhi ya watuhumiwa na pindi wanapokataa kumpa huwabambikia kesi mbalimbali.
Baadhi ya askari wanamtaja Mafwele kama kiongozi katili, jeuri mwenye majidai ambaye amejijengea mtandao wa askari wake ambao humpelekea kitu kidogo ofisini kwake ili awalinde pindi wanapokiuka sheria za jeshi la polisi.
Kuna taarifa kwamba hata RPC wa mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas anamwogopa Mafwele kwa kuwa ni mtu ambaye amejenga mtandao mpana katika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar na katika kuthibitisha hilo majuzi yalipofanywa mabadiliko ndani ya jeshi hilo nchi nzima Mafwele hakuguswa; mnajua kwanini? Swali hilo IGP Mangu atalijibu hapa.
Kama mnakumbuka mwaka juzi Mafwele alipigwa risasi ya bega la kulia na majambazi na tetesi zinasema kuwa aliwazunguka katika mgao wa fedha walizopora katika hoteli ya Kibo Palace ambayo ni mali ya tajiri Laswai.
Mafwele amejenga nyumba ya kifahari mkoani Mwanza wilayani Ilemela na nje ya nyumba hiyo eneo la parking kuna magari zaidi ya matano ya kifahari yamepaki nje hayatumiki huyu kigogo ana pesa kiasi gani?
Amedumu mkoani Arusha kwa muda wa zaidi ya miaka mitano bila kuhamishwa na kila uhamisho ukifika yeye haguswi je kuna nini hapa ndugu wadau embu tuulizane au ndiyo mtindo wa kulindana?
Kuna baadhi ya mahabusu hadi sasa wanasota jela la Kisongo na inasemekana baadhi yao amewabambikia kesi baada ya kushindwa kumpa rushwa ya kati ya sh, 4 hadi 5 milioni, na ukifika ofisini kwake kuna mafaili kibao ya watuhumiwa ambayo, ili kuyafuta anataka pesa.
Tunamwomba IGP Mangu amchunguze huyu kigogo wa jeshi la polisi Arusha kwani malalamiko yamekuwa mengi. Lakini naomba tujadili huyu Mafwele ni nani na alitokea wapi hadi kuukwaa u OC CID?
Wenye data zimwageni hapa.
Source: Mdau wa habari Arusha.
Mkuu, siyo coincidence mtu atuhumiwe kwa ukatili na mauaji kila anapopita. Arusha, Mwanza na Dar kote anatuhumiwa kwa mauaji na ukatili. Mbona wako askari wazuri sana kwenye kupigana na majambazi na hupata sifa nzuri? Hivi unajua nickname ya Mafwele? Anaitwa ''Majani''. Inasemekana ni kwa sababu ya kuvuta bangi.Pengine hiyo ya pili ndio sahihi, tukianza na huo ukwasi alionao ni nadra sn kwa polisi mwenye maadili ya kazi yake kuwa na ukwasi huo alionao kama ni kweli anamiliki huo ukwasi.
Ndo maana yakufa kifo kibayaKuna vice mmoja pale st.thomas more college kwa Sasa IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL miaka ya 90's
Umenikumbusha Hilo li jamaa lilikuaga katili na miwani zake. Kuna binadamu wameumbwa kua makatili Sanaa
Si wanasema yupo Polisi Chang'ombe Ofisini?HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA
Kwa mtu ambaye ni mkazi wa jiji la Arusha na viunga vyake nadhani atakuwa anamjua vizuri mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha,OC-CID Faustine Mafwele .
Kiongozi huyu wa jeshi la polisi amekuwa akilalamikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kukandamiza haki za raia kwa mfano kuwatia ndani baadhi ya watu ambao ana ugomvi nao bila sababu za msingi.
Mafwele amekuwa akilalamikiwa kwamba anazuia watuhumiwa wasipewe dhamana kwa jeuri yake hata kama dhamana ni haki ya mshtakiwa.
Analalamikiwa kwa tuhuma za rushwa ambazo amekuwa akiomba kwa baadhi ya watuhumiwa na pindi wanapokataa kumpa huwabambikia kesi mbalimbali.
Baadhi ya askari wanamtaja Mafwele kama kiongozi katili, jeuri mwenye majidai ambaye amejijengea mtandao wa askari wake ambao humpelekea kitu kidogo ofisini kwake ili awalinde pindi wanapokiuka sheria za jeshi la polisi.
Kuna taarifa kwamba hata RPC wa mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas anamwogopa Mafwele kwa kuwa ni mtu ambaye amejenga mtandao mpana katika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar na katika kuthibitisha hilo majuzi yalipofanywa mabadiliko ndani ya jeshi hilo nchi nzima Mafwele hakuguswa; mnajua kwanini? Swali hilo IGP Mangu atalijibu hapa.
Kama mnakumbuka mwaka juzi Mafwele alipigwa risasi ya bega la kulia na majambazi na tetesi zinasema kuwa aliwazunguka katika mgao wa fedha walizopora katika hoteli ya Kibo Palace ambayo ni mali ya tajiri Laswai.
Mafwele amejenga nyumba ya kifahari mkoani Mwanza wilayani Ilemela na nje ya nyumba hiyo eneo la parking kuna magari zaidi ya matano ya kifahari yamepaki nje hayatumiki huyu kigogo ana pesa kiasi gani?
Amedumu mkoani Arusha kwa muda wa zaidi ya miaka mitano bila kuhamishwa na kila uhamisho ukifika yeye haguswi je kuna nini hapa ndugu wadau embu tuulizane au ndiyo mtindo wa kulindana?
Kuna baadhi ya mahabusu hadi sasa wanasota jela la Kisongo na inasemekana baadhi yao amewabambikia kesi baada ya kushindwa kumpa rushwa ya kati ya sh, 4 hadi 5 milioni, na ukifika ofisini kwake kuna mafaili kibao ya watuhumiwa ambayo, ili kuyafuta anataka pesa.
Tunamwomba IGP Mangu amchunguze huyu kigogo wa jeshi la polisi Arusha kwani malalamiko yamekuwa mengi. Lakini naomba tujadili huyu Mafwele ni nani na alitokea wapi hadi kuukwaa u OC CID?
Wenye data zimwageni hapa.
Source: Mdau wa habari Arusha.
Mafwere ndio kinara na mratibu mkuu Wa matukio ya utekaji. @Sativa analithibitisha hiliHapo kuna mawili! Ukute yeye Ndio kiboko ya mitandao ya majambazi ya Arusha ; Sasa wanatengeneza fitna atolewe jeshi lipoteze dira na majambazi kujipanga na kuanza kusumbua!! Au hizo tuhuma ni za kweli!!
Kazi sanaaaaa basi sawa.....muda utaongeaMafwere ndio kinara na mratibu mkuu Wa matukio ya utekaji. @Sativa analithibitisha hili
Kumbe?Mafwere ndio kinara na mratibu mkuu Wa matukio ya utekaji. @Sativa analithibitisha hili
Shikamoo jamii forums. Kumbe huyu shetani alianza kitambo sana huu ushetani wake. Mupitia huu uzi, naamini kesi imefungwa sasa kukusu hawa watekaji.HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA
Kwa mtu ambaye ni mkazi wa jiji la Arusha na viunga vyake nadhani atakuwa anamjua vizuri mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha,OC-CID Faustine Mafwele .
Kiongozi huyu wa jeshi la polisi amekuwa akilalamikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kukandamiza haki za raia kwa mfano kuwatia ndani baadhi ya watu ambao ana ugomvi nao bila sababu za msingi.
Mafwele amekuwa akilalamikiwa kwamba anazuia watuhumiwa wasipewe dhamana kwa jeuri yake hata kama dhamana ni haki ya mshtakiwa.
Analalamikiwa kwa tuhuma za rushwa ambazo amekuwa akiomba kwa baadhi ya watuhumiwa na pindi wanapokataa kumpa huwabambikia kesi mbalimbali.
Baadhi ya askari wanamtaja Mafwele kama kiongozi katili, jeuri mwenye majidai ambaye amejijengea mtandao wa askari wake ambao humpelekea kitu kidogo ofisini kwake ili awalinde pindi wanapokiuka sheria za jeshi la polisi.
Kuna taarifa kwamba hata RPC wa mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas anamwogopa Mafwele kwa kuwa ni mtu ambaye amejenga mtandao mpana katika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar na katika kuthibitisha hilo majuzi yalipofanywa mabadiliko ndani ya jeshi hilo nchi nzima Mafwele hakuguswa; mnajua kwanini? Swali hilo IGP Mangu atalijibu hapa.
Kama mnakumbuka mwaka juzi Mafwele alipigwa risasi ya bega la kulia na majambazi na tetesi zinasema kuwa aliwazunguka katika mgao wa fedha walizopora katika hoteli ya Kibo Palace ambayo ni mali ya tajiri Laswai.
Mafwele amejenga nyumba ya kifahari mkoani Mwanza wilayani Ilemela na nje ya nyumba hiyo eneo la parking kuna magari zaidi ya matano ya kifahari yamepaki nje hayatumiki huyu kigogo ana pesa kiasi gani?
Amedumu mkoani Arusha kwa muda wa zaidi ya miaka mitano bila kuhamishwa na kila uhamisho ukifika yeye haguswi je kuna nini hapa ndugu wadau embu tuulizane au ndiyo mtindo wa kulindana?
Kuna baadhi ya mahabusu hadi sasa wanasota jela la Kisongo na inasemekana baadhi yao amewabambikia kesi baada ya kushindwa kumpa rushwa ya kati ya sh, 4 hadi 5 milioni, na ukifika ofisini kwake kuna mafaili kibao ya watuhumiwa ambayo, ili kuyafuta anataka pesa.
Tunamwomba IGP Mangu amchunguze huyu kigogo wa jeshi la polisi Arusha kwani malalamiko yamekuwa mengi. Lakini naomba tujadili huyu Mafwele ni nani na alitokea wapi hadi kuukwaa u OC CID?
Wenye data zimwageni hapa.
Source: Mdau wa habari Arusha.
Kwa hiyo mleta mada ni mpiga majungu mastufu jukwaani sio?mleta mada ninazidi kuwa na wasiwasi na wewe maana ukileta mada zinakuwa ni za majungu na uzandiki
mfano: last year ulileta thread kuhusu wale wadada mapacha watumishi wa tra, kumbe ni uzandiki tu huna hoja umejaa majungu
HatariHIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA
Kwa mtu ambaye ni mkazi wa jiji la Arusha na viunga vyake nadhani atakuwa anamjua vizuri mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha,OC-CID Faustine Mafwele .
Kiongozi huyu wa jeshi la polisi amekuwa akilalamikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kukandamiza haki za raia kwa mfano kuwatia ndani baadhi ya watu ambao ana ugomvi nao bila sababu za msingi.
Mafwele amekuwa akilalamikiwa kwamba anazuia watuhumiwa wasipewe dhamana kwa jeuri yake hata kama dhamana ni haki ya mshtakiwa.
Analalamikiwa kwa tuhuma za rushwa ambazo amekuwa akiomba kwa baadhi ya watuhumiwa na pindi wanapokataa kumpa huwabambikia kesi mbalimbali.
Baadhi ya askari wanamtaja Mafwele kama kiongozi katili, jeuri mwenye majidai ambaye amejijengea mtandao wa askari wake ambao humpelekea kitu kidogo ofisini kwake ili awalinde pindi wanapokiuka sheria za jeshi la polisi.
Kuna taarifa kwamba hata RPC wa mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas anamwogopa Mafwele kwa kuwa ni mtu ambaye amejenga mtandao mpana katika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar na katika kuthibitisha hilo majuzi yalipofanywa mabadiliko ndani ya jeshi hilo nchi nzima Mafwele hakuguswa; mnajua kwanini? Swali hilo IGP Mangu atalijibu hapa.
Kama mnakumbuka mwaka juzi Mafwele alipigwa risasi ya bega la kulia na majambazi na tetesi zinasema kuwa aliwazunguka katika mgao wa fedha walizopora katika hoteli ya Kibo Palace ambayo ni mali ya tajiri Laswai.
Mafwele amejenga nyumba ya kifahari mkoani Mwanza wilayani Ilemela na nje ya nyumba hiyo eneo la parking kuna magari zaidi ya matano ya kifahari yamepaki nje hayatumiki huyu kigogo ana pesa kiasi gani?
Amedumu mkoani Arusha kwa muda wa zaidi ya miaka mitano bila kuhamishwa na kila uhamisho ukifika yeye haguswi je kuna nini hapa ndugu wadau embu tuulizane au ndiyo mtindo wa kulindana?
Kuna baadhi ya mahabusu hadi sasa wanasota jela la Kisongo na inasemekana baadhi yao amewabambikia kesi baada ya kushindwa kumpa rushwa ya kati ya sh, 4 hadi 5 milioni, na ukifika ofisini kwake kuna mafaili kibao ya watuhumiwa ambayo, ili kuyafuta anataka pesa.
Tunamwomba IGP Mangu amchunguze huyu kigogo wa jeshi la polisi Arusha kwani malalamiko yamekuwa mengi. Lakini naomba tujadili huyu Mafwele ni nani na alitokea wapi hadi kuukwaa u OC CID?
Wenye data zimwageni hapa.
Source: Mdau wa habari Arusha.
Hii kauli tata sanaHata RPC anamuogopa?!
Aisee huyu Jamaa ni muuaji na jambazi sugu ,HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA